Naombeni msaada ratiba ya treni ya Mwakyembe; Ubungo - Stesheni

Lughe

Senior Member
Oct 26, 2010
116
19
Habari wakuu,
naombeni msaada anayejua ratiba ya treni ya Mwakyembe hususani kuanzia asubuhi kutoka Ubungo kuja Stesheni. Inaanza saa ngapi na inafanya trip ngapi, nateseka sana na usafiri wa daladala.
 
Habari wakuu,
naombeni msaada anayejua ratiba ya treni ya Mwakyembe
hususani kuanzia asubuhi kutoka ubungo kuja stesheni.
inaanza saa ngapi na inafanya trip ngapi?
nateseka sana na usafiri wa daladala.

Acha kebehi wewe, angalia usije kukufuru na siku moja ukajutia hizo kebehi zako, huko nje uliko mambo yanaweza yakakuharibikia na ukashangaa siku moja hata hiyo dala dala ukashindwa kulipa, nakupa somo tu, tunawajua wengi waliokuwa hivyo, wakifika ulaya basi wanakebehi kila kitu chetu mpaka wanapitiliza halafu kibao kinakuja kuwageukia shauri yako!!

linatoka ubungo saa 11 asubuhi kupitia mbezi beach tegeta,mbagala,kimara,pugu,tandale kwa tumbo,buguruni madenge,morroco na kuishia masaki mwisho
 
Kijakazi nimeomba msaada
please be concise to the topic.
pamoja we can build and improve our living.
 
Acha kebehi wewe, angalia usije kukufuru na siku moja ukajutia hizo kebehi zako, huko nje uliko mambo yanaweza yakakuharibikia na ukashangaa siku moja hata hiyo dala dala ukashindwa kulipa, nakupa somo tu, tunawajua wengi waliokuwa hivyo, wakifika ulaya basi wanakebehi kila kitu chetu mpaka wanapitiliza halafu kibao kinakuja kuwageukia shauri yako!!

Do you know him/her?
 
Kijakazi nimeomba msaada
please be concise to the topic.
pamoja we can build and improve our living.
siku hizi treni zipo nyingi kama daladala hazina ratiba
we subiri tu hapo kituoni utaona zinafukazana kugombea wateja
 
NATA ahsante kwa busara yako nashukuru kwa kuwapa ufafanuzi.
Watu wengine ni wabinafsi na much know sana,sijui wanashea na hii forum.
Natumaini mwenye kujua ratiba atatumia busara yake kunijuza.
 
Nimezaliwa na kukulia Tanzania sihitaji kumjua Mtanzania kuweza kumuelewa, Mtanzania wa kawaida hawezi kuuliza swali kama hilo tena kwenye internet, huyu jamaa anakebehi na wala hana hiyo shida!

Ukimjibu utapungukiwa nini? Kila wakati mnawaza kujibu maswali visivyo. Uelewe Jibu unalotoa hapa halimsaidii yeye tu. Bali na JF wengine. Sasa unapojibu utumbo unatusaidia nini. Jamani kama mtu huna jibu ni bora kunyamaza, kwani lazima kila linaloulizwa hapa ujibu?
 
linatoka ubungo saa 11 asubuhi
kupitia mbezi beach tegeta,
mbagala,kimara,
pugu,tandale kwa tumbo,
buguruni madenge,
morroco na kuishia masaki mwisho

Na mimi nimejiuliza maswali mengi ya haraka haraka nikakosa majibu!

Nimejiuliza hizo njia na mitandao ya Reli ... kuna sehemu hakuna kabisa reli huko sasa sijui hii treni ya huyu obama wa bongo sijui ina matairi kama ya gari!

JF ... za kuambiwa .. changanya na zako!
 
habari wakuu,
naombeni msaada anayejua ratiba ya treni ya mwakyembe
hususani kuanzia asubuhi kutoka ubungo kuja stesheni.
Inaanza saa ngapi na inafanya trip ngapi?
Nateseka sana na usafiri wa daladala.

asubuhi kwenda mjini (ubungo maziwa);
6:00 am , 8:00am , 10:00 am

jioni kutoka mjini (stesheni)
16:00 pm , 18:00 pm , 20:00 pm

kila muda +15 or -15 minutes
 
Ukimjibu utapungukiwa nini? Kila wakati mnawaza kujibu maswali visivyo. Uelewe Jibu unalotoa hapa halimsaidii yeye tu. Bali na JF wengine. Sasa unapojibu utumbo unatusaidia nini. Jamani kama mtu huna jibu ni bora kunyamaza, kwani lazima kila linaloulizwa hapa ujibu?

sema wewe. Unauliza swali mtu anakucharukia sijui kaamka vibaya? Wtf?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom