Town Hustler
JF-Expert Member
- Oct 25, 2016
- 278
- 364
- Thread starter
- #21
Sawa mkuu
Ila kabla sijaongeza taa niliongea na fundikabisa na kunihamikishia sio tatizo.....
Ila kabla sijaongeza taa niliongea na fundikabisa na kunihamikishia sio tatizo.....
Watt 20 ni panel ndogo sana mkuu kwa matumizi ya taa 5, na kuchaji simu, mimi nakumbuka nilipeleka panel ya watt 20, matumizi ni taa moja tu na kuchaji simu wakati wa mchana pekee, mpaka sasa ni mwaka wa tattu halijatokea tatizo. Sana sana ni siku za mvua ndiyo huwa kuna nguvu kidogo