Naombeni msaada na ushauri kuhusu solar...

Sawa mkuu
Ila kabla sijaongeza taa niliongea na fundikabisa na kunihamikishia sio tatizo.....
Watt 20 ni panel ndogo sana mkuu kwa matumizi ya taa 5, na kuchaji simu, mimi nakumbuka nilipeleka panel ya watt 20, matumizi ni taa moja tu na kuchaji simu wakati wa mchana pekee, mpaka sasa ni mwaka wa tattu halijatokea tatizo. Sana sana ni siku za mvua ndiyo huwa kuna nguvu kidogo
 
panel ya 20W ni ndogo mno kwa iyo battery, pata walau ya 40W,
kwa maana nyingine ya 20W haitaweza jaza ilo betri, litakua linajaa nusu au robo, na kukiwa na mvua ( au hali ya mawingu) ndio kabisa
 
Wapigie namba hii 0800 75 2222. Kupiga ni bure. Huo mtambo kwa mfano kama wangu unalipa 72,000 wanakuja kukufungia iliyobaki unalipa kidogokidogo 29,000 kwa mwezi au 1,000 kila siku kwa mpesa au tigopesa. Ni kama LUKU usipolipa umeme unakatika. Lakini mitambo yao ni imara. Njoo PM ukifanikiwa unipe mrejesho
Hii inawasha nini au ina uwezo wa kutumia vitu gani kwenye nyumba...?
 
Mimi nina utaalamu wa kudesign mfumo wa solar PV.
Vitu vikubwa katika mfumo wa solar PV ni PV module, solar charge controller, inverter, battery bank, auxiliary energy sources and loads (appliances).

Sasa tuanze step by step (step ziko 5)
Kudesign mfumo wa solar

Step ya 1.Nguvu inayotumika katika mahitaji yako.
Jumla ya matumizi ya vifaa vyako= taa 2 kila moja 3W ukiziwasha masaa 13/siku hapa nime assume umewasha saa 1 jioni hadi kesho yake saa1 au2 asubuhi ndio kuzizima
Taa 2 @3W masaa 5/siku hapa nime assume ukiwasha saa 1 ukazima saa tano usiku maana umesema unazima mbili unaacha mbili na kuchaji simu maximum nguvu inayotumika 5W kwa masaa 3 kwa siku(kwa smartphone)
Sasa
Taa 2 X 3W X13hrs/day =78Wh/day
Taa 2 X 3W X 5hrs/day = 30Wh/day
Kuchaji simu moja X 5W X 3hrs/day = 15Wh/day
Jumla ya matumizi yako= 123Wh/day

Nguvu ya jumla inayohitajika kwenye PV paneli= 123 X 1.3 = 159.9Wh/day say 160Wh/day

Step ya 2. Size ya PV paneli

Jumla ya Wp za uwezo wa PV paneli zinazohitajika= 160/3.4 =47.1Wp
Idadi ya PV paneli zinazohitajika = 47.1Wh/20= 2.4 paneli
Zinazohitajika sahii =3 modules
Kwa io mfumo wako huo unatakiwa upate nguvu kwa kutumia paneli 3 za 20Wp ambapo 3X20Wp = 60 Wp.

hahahaha nimechoka kutype step ya 3 hadi ya 5
tuishie hapo
 
Shukrani mkuu
Nitafunga betri mpya na controller na taa za nje nitabadili na kuweka za 1W

Inventor ndio kifaa gani
 
Shukrani mkuu
Nitafunga betri mpya na controller na taa za nje nitabadili na kuweka za 1W

Inventor ndio kifaa gani
Kama taa zako au vifaa vyako ni vya DC huna haja ya invetor. Ila kama una vifaa vya AC ndio utahitaji.

Inverort kazi yake ni kubadili umeme wa DC kwenda AC.
 
Mkuu sijakuelewa vifa vya DC & AC maana yake nini
Kuna vifaa vinavyotumia umeme wa TANESCO hivyo ni AC. Vifaa vinavyounganishwa kwenye betri moja kwa moja hizo ni DC
kwenye mfumo wetu wa sola kuna Inveta hii inavonvert DC TO AC.
 
hiyo ni Inveta ya juu.
Ya chini ni betri ya N100.
JUU NINA PANEL YA W200 
 
Attachments

  • 15712885206129200278358749686289.jpg
    15712885206129200278358749686289.jpg
    144.3 KB · Views: 15
15712886491857564077315446719491.jpg
15712886491857564077315446719491.jpg
with Inveta unaweza tumia vifaa vya umeme wa TANESCO kiroho safi
 
Kuna vifaa vinavyotumia umeme wa TANESCO hivyo ni AC. Vifaa vinavyounganishwa kwenye betri moja kwa moja hizo ni DC
kwenye mfumo wetu wa sola kuna Inveta hii inavonvert DC TO AC.
Ahsante kwa ufafanuzi
 
Natumia Solar Kwa muda wa miaka nane Sasa haijazima, ni Prosolar Kila kitu na taa zake zinadumu Sana.Biashara hii imekuwa huria Sana .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom