Naombeni msaada na ushauri kuhusu solar...

Town Hustler

JF-Expert Member
Oct 25, 2016
278
364
Heshima kwenu wakuu !
Nipo kijiji fulani nyanda za juu kusini...natumia solar tangu Jan
Nilinunua betri mpya ya Sundar yenye ukubwa wa 12V 18 AH/ 20HRS na Panel ya Watt 20 nikawa natumia taa 1 na kuchaji simu pekee
Mwezi wa 4 nikaongezea taa 4 (za Watt 3 mbili na Watt 2 mbili)

Mwanzoni mwa mwezi huu ikaanza shida ikawa haiawki kabisa nikaita fundi akasema betri ni ndogo kuliko matumizi ikachokonoa ikawa fresh
Baada ya siku 3 tatizo likarudi vilevile akaja fundi mwingine akadai betri sio tatizo ila waya tu akachokonoa ikawa fresh ila now haiwaki tena

Wataalamu mnahisi tatizo nini ?
Na je nitafute betri au niongeze panel ya Watt ngapi ?
Matumizi yangu ni :
1/kuchaji simu
2/Taa 5 za Watt 3 ila huwa nawasha 4 na kulala naacha mbili tu

Natanguliza shukrani
 
Hizi solar za kununua dukani ukalipa cash wanakuingiza mkenge utaitumia kwa muda inaharibika. Kuna kampuni inaitwa ZOLA! Kwa mtambo wenye thamani ya laki Tisa, unalipa 72,000 wanakuja wanakufungia na wanakupa mkopo wa kulipa kwa miaka 3. Nimeutumia miaka 2 sasa haujawahi kuzingua wala taa kuharibika.
 
Nimekusoma mkuu
Uwezo wangu kiuchumi ni mdogo pia matumizi yangu ni madogo kwa sas yaani kuchaji simu na kuwasha taa tu

Wapigie namba hii 0800 75 2222. Kupiga ni bure. Huo mtambo kwa mfano kama wangu unalipa 72,000 wanakuja kukufungia iliyobaki unalipa kidogokidogo 29,000 kwa mwezi au 1,000 kila siku kwa mpesa au tigopesa. Ni kama LUKU usipolipa umeme unakatika. Lakini mitambo yao ni imara. Njoo PM ukifanikiwa unipe mrejesho
 
Ahsante mkuu
Ila soma vizuri nilichoandika........
Wapigie namba hii 0800 75 2222. Kupiga ni bure. Huo mtambo kwa mfano kama wangu unalipa 72,000 wanakuja kukufungia iliyobaki unalipa kidogokidogo 29,000 kwa mwezi au 1,000 kila siku kwa mpesa au tigopesa. Ni kama LUKU usipolipa umeme unakatika. Lakini mitambo yao ni imara. Njoo PM ukifanikiwa unipe mrejesho
 
Heshima kwenu wakuu !
Nipo kijiji fulani nyanda za juu kusini...natumia solar tangu Jan
Nilinunua betri mpya ya Sundar yenye ukubwa wa 12V 18 AH/ 20HRS na Panel ya Watt 20 nikawa natumia taa 1 na kuchaji simu pekee
Mwezi wa 4 nikaongezea taa 4 (za Watt 3 mbili na Watt 2 mbili)

Mwanzoni mwa mwezi huu ikaanza shida ikawa haiawki kabisa nikaita fundi akasema betri ni ndogo kuliko matumizi ikachokonoa ikawa fresh
Baada ya siku 3 tatizo likarudi vilevile akaja fundi mwingine akadai betri sio tatizo ila waya tu akachokonoa ikawa fresh ila now haiwaki tena

Wataalamu mnahisi tatizo nini ?
Na je nitafute betri au niongeze panel ya Watt ngapi ?
Matumizi yangu ni :
1/kuchaji simu
2/Taa 5 za Watt 3 ila huwa nawasha 4 na kulala naacha mbili tu

Natanguliza shukrani
Umepima input voltage zinazoingia kwenye controller? Na je controller inatoa output ya kiasi gani cha umeme kuelekea kwenye battery?
 
Je solar yako imefugwa pamoja na charger contoller? Hii inasaidia kucotrol kiasi cha power kinachopaswa kuingia kwenye battery ili isiwe over charged ili betri idumu kuna wengine wanafunga direct hio so sawa huenda betr imeshakuwa na shida lakini pia lingine angalia connection kutoka panel kwenda kwenye chaji na pia kutoka kwenye chaji kwenda kwenye taa kama zipo sawa.
 
Controller inauzwa bei gani

Bei ya controller ipoje

Matumizi yangu yapo sawa ?
Hiyo battery kwa kinadharia inaonesha inaweza kutoa watt za kutosha, ila je solar controller ipo vizuri? Solar controller ni device inayopokea umeme kutoka kwenye solar panel alafu hupeleka umeme kwenye battery na inverter.
 
Panel ipo sawa tena mpya kabisa ......
Controller ndio panel au mbona unachanganya mkuu
Solar charger controller ni kifaa kinachopokea umeme kutoka kwenye solar panel, na hupeleka umeme kwenye battery na inverter.
Picha kwa hisani ya google, na zinapatikana kwa brand na uwezo mbalimbali.
 
Attachments

  • Screenshot_20191011-172813.png
    Screenshot_20191011-172813.png
    95.1 KB · Views: 30
Watt 20 ni panel ndogo sana mkuu kwa matumizi ya taa 5, na kuchaji simu, mimi nakumbuka nilipeleka panel ya watt 20, matumizi ni taa moja tu na kuchaji simu wakati wa mchana pekee, mpaka sasa ni mwaka wa tattu halijatokea tatizo. Sana sana ni siku za mvua ndiyo huwa kuna nguvu kidogo
 
Solar charger controller ni kifaa kinachopokea umeme kutoka kwenye solar panel, na hupeleka umeme kwenye battery na inverter.
Picha kwa hisani ya google, na zinapatikana kwa brand na uwezo mbalimbali.
Bei zake zipoje mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom