Nina tatizo la uzito mkubwa hadi miguu inavimba

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
25,558
45,828
Nina tatizo la uzito mkubwa yaani hadi miguu inavimba sana.

Changamoto yangu ni kupenda kula vitu vitamu, chocolates, biscuits, kuku etc. Siwezi kucontrol uzito wangu kwa kujinyima kula. Hela natafuta kwa shida sana so saa ya matumizi especially kula naona tu niachwe nile nachotaka.

Nachoomba kwenu Ni kama kuna dawa ya kupunguza uzito isiyo na madhara ukizingatia mimi ni mwanamke nataka kuzaa. Isije ikaondoka na mayai yangu nikakosa mrithi wakuu
 
Nina tatizo la uzito mkubwa yaani hadi miguu inavimba sana .
Changamoto yangu Ni kupenda kula vitu vitamu, chocolates, biscuits,kuku etc.siwezi kucontrol uzito wangu kwa kujinyima kula.hela natafuta kwa shida sana so saa ya matumizi especially kula naona tu niachwe nile nachotaka
Nachoomba kwenu Ni kama kuna dawa ya kupunguza uzito isiyo na madhara ukizingatia mimi Ni mwanamke nataka kuzaa.isije ikaondoka na mayai yangu nikakosa mrithi wakuu
mbona hapa jamvini wewe wanakutambua kama mwanaume. hayo mayai ya kutaka uzae inatoka wapi tena
 
Nina tatizo la uzito mkubwa yaani hadi miguu inavimba sana .
Changamoto yangu Ni kupenda kula vitu vitamu, chocolates, biscuits,kuku etc.siwezi kucontrol uzito wangu kwa kujinyima kula.hela natafuta kwa shida sana so saa ya matumizi especially kula naona tu niachwe nile nachotaka
Nachoomba kwenu Ni kama kuna dawa ya kupunguza uzito isiyo na madhara ukizingatia mimi Ni mwanamke nataka kuzaa.isije ikaondoka na mayai yangu nikakosa mrithi wakuu
Usisumbuke kutafuta madawa ya kupunguta huo unene coz awamu ya TANO ni dawa tosha kwa sababu hata mimi nilikuwa bonge mpaka kwenye Ac natokwa na kasho ila awamu ya kishindo ikaharibu michongo yangu nimepungua hadi nguvu za kiume zimeongezeka.So usijione umetengwa na hii awamu subiri itafika zamu yako dear.
 
.....siwezi kucontrol uzito wangu kwa kujinyima kula.hela natafuta kwa shida sana so saa ya matumizi especially kula naona tu niachwe nile nachotaka
Kupunguza uzito siyo lazima ujinyime kula. Unaweza kula sana huku ukifanya mazoezi mara kwa mara. Ila lazima iwe vyakula aina flani... mfano salads, matunda, mboga mboga, nuts, legumes, samaki wa kuchemsha, nk.

Ila ni muhimu uwe tayari kuacha vyakula kadhaa Kama chips, kuku wa kizungu, kiti moto, soda, pombe, nk.. Kama huwezi kuacha hivi vyakula taka (junk foods), basi inabidi uanze kumeza dozi za madawa ya kichina, maana hakuna namna
 
Fanya mazoezi madame...hata kama utakuwa mnene lakini huwezi kuwa mzito.

Mimi ni mnene kiasi lkni ni mwepesi.fanya mazoezi na upunguze kula sana.siku ya kwanza na pili itakuwa ni ngumu kidogo kujizuia lakini ukijikaza ukavuka siku ya tatu bila kula kula sana hizo siku nyingine itakuwa rahisi.

Punguza pia vitu vitamu.najua huwezi kuacha kwa ghafla lakini punguza kidogo.taratibu utafanikiwa.kila la kheri
 
Kupunguza uzito siyo lzm ujinyime kula. Unaweza kula Sana huku ukifanya mazoezi mara kwa mara. Ila lazima iwe vyakula aina flani... mfano salads, matunda, mboga mboga, nuts, legumes, samaki wa kuchemsha, nk.

Ila ni muhimu uwe tayari kuacha vyakula kadhaa Kama chips, kuku wa kizungu, kiti motos, pombe, nk.. Kama huwezi kuacha hivi vyakula taka (junk foods), basi inabidi uanze kumeza dozi za madawa ya kichina, maana hakuna namna
Dawa za kichina napata wapi nzuri boss
 
Fanya mazoezi madame...hata kama utakuwa mnene lakini huwezi kuwa mzito.

Mimi ni mnene kiasi lkni ni mwepesi.fanya mazoezi na upunguze kula sana.siku ya kwanza na pili itakuwa ni ngumu kidogo kujizuia lakini ukijikaza ukavuka siku ya tatu bila kula kula sana hizo siku nyingine itakuwa rahisi.

Punguza pia vitu vitamu.najua huwezi kuacha kwa ghafla lakini punguza kidogo.taratibu utafanikiwa.kila la kheri
Mazoezi siwezi sina muda ila kazi nayofanya zoezi tosha. Shida kulakula tu
 
Nasikitika kukwambia kwamba hakuna dawa ya kupunguza unene huku wewe ukiendelea kula kula.Utaishia kuchezea pesa zako.

Kama umefikia hatua una vimba miguu sababu ya unene inabidi ufunge roho uchukue hatua itakayokusaidia kweli mazoezi /health eating.
 
Kupunguza uzito siyo lazima ujinyime kula. Unaweza kula sana huku ukifanya mazoezi mara kwa mara. Ila lazima iwe vyakula aina flani... mfano salads, matunda, mboga mboga, nuts, legumes, samaki wa kuchemsha, nk.

Ila ni muhimu uwe tayari kuacha vyakula kadhaa Kama chips, kuku wa kizungu, kiti moto, pombe, nk.. Kama huwezi kuacha hivi vyakula taka (junk foods), basi inabidi uanze kumeza dozi za madawa ya kichina, maana hakuna namna
Lakini mkuu tafiti zinaonyesha ya kwamba chakula siyo sababu namba moja ya mtu kuongezeka uzito!🤔🤔🤔
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom