Naombeni msaada mawazo wanaJF juu ya kupata kazi

never mind sijui mie ntasaidiwa na nani by the way hii kazi nifanyayo nipo hapa mwaka wa 6 na nilisaidiwa tu na mwanadada fulani yeye ameshapunguzwa kitambo mi bado nipo ila mungu alimsaidia pia alishapata kazi huwa mungu anaona atii kama si mie ni mwanangu that is how life is
Yes thats's life

Ukitenda wema wema utalipwa wema kwa njia yogite ile na ukitenda ubaya utalipwa ubaya vipe vile,
 
Hakika mungu ni mwema namshukuru huyu dada mulhat kwa wema alionionyesha, kwani nimefanikiwa kufanya interview mchana huu na nina mategemeo makubwa, mungu amfanyie wepesi Katika kila jambo lake inshallah.
 
Mungu pamoja nasi inshaallah, kama ni yako yako tu...
 
never mind sijui mie ntasaidiwa na nani by the way hii kazi nifanyayo nipo hapa mwaka wa 6 na nilisaidiwa tu na mwanadada fulani yeye ameshapunguzwa kitambo mi bado nipo ila mungu alimsaidia pia alishapata kazi huwa mungu anaona atii kama si mie ni mwanangu that is how life is
usijali mkuu..hata Mie kuna mdau niliwahi kumsaidia akapata kazi ya uhasibu mahali flani..kiukweli huyu jamaa anazidi kunishukuru mpaka leo..alianza na kamshahara ka laki 8 saivi anadaka 2m. .of course tumekua kama ndugu saivi..
 
never mind sijui mie ntasaidiwa na nani by the way hii kazi nifanyayo nipo hapa mwaka wa 6 na nilisaidiwa tu na mwanadada fulani yeye ameshapunguzwa kitambo mi bado nipo ila mungu alimsaidia pia alishapata kazi huwa mungu anaona atii kama si mie ni mwanangu that is how life is
Nisaidie na mimi, nina diploma ya science and laboratory technology.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom