Naombeni msaada kwenye hili la Window 11

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
599
206
Habari za muda huu.

Baada ya pc health check kundolewa kutokana na mapungufu siku za nyuma hatimaye microsoft wame irudisha tena huku bado siku kadhaa tu ili window 11 itoke rasmi tarehe 2

Screenshot (9).png

Screenshot (10).png
 
Habari za muda huu.

Baada ya pc health check kundolewa kutokana na mapungufu siku za nyuma hatimaye microsoft wame irudisha tena huku bado siku kadhaa tu ili window 11 itoke rasmi tarehe 2

View attachment 1951637

View attachment 1951638

Kwenye list ya Supported processors, microsoft aliorodhesha processors za kuanzai generation ya 7. Na hiyo yako ni generation ya 6.

Microsoft alichanganya vitu, kwenye minimum requirements za win 11 alisema inahitaji processor kuanzia 1Ghz na wakati kwenye processor alisema 7th gen.

Lakini usijali, pamoja na hiyo bado windows 11 inaweza kuingia kwenye mashine yako bila shida.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom