Naombeni msaada kwenye hili jambo

Riz king

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
275
547
Nauliza kwa wale wanaoendelea mfano mwanafunzi mwaka jana mwanafunzi wa MD kapata tuition fee ya m3.1 je mwaka wa pili mpangilio wake huwa unakuwaje? Wanaweza kumpunguzia kabisa au ndo hatapata tena?
 
Back
Top Bottom