Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
Jamani nambeni msaada ktk hili ..najua kuna vijiji vingi sana.Ila pia najua nguvu kazi(Wapiga kura) wamekimbilia mijini.Pia tunajua kwamba nyumba za mijini zipo karibu na nyingi uswazi zinalaza watu wengi sana kwa chumba. Kwa haraka haraka tulitegemea Idadi ya wapiga kura wa wa majiji na miji nchini yangezidi m10.Ila kwa taarifa za magazeti Dar haina 3m, nyanda za juu kusini zilizosifiwa kuwa na idadi kubwa haina 4m, miji mingine nayo kwa haraka haitofika 2m.Napata shida kidogo kuona vijiji gani vinaweza kuwa na watu wengi na hao watu wengi tuangalie wale wenye sifa na waliojiandikisha ktk BVR? ili kufikia idadi ya jumla ya waliojiandikisha.NINGEPENDA MSAADA HAPA,KWA UELEWA WANGU WA KIPIMO NAONA KM WATU WANAWEZA PIGA KURA SANA,NA WAKAJITOKEZA KWA WINGI,KUMBE WAPIGAJI HALISI NI CHINI YA 10M, NA KURA NYINGINE ILI KUFIKIA HIZO 20+ ZIKABAKI KTK MIKONO YA WACHAKACHUAJI. Pengine wenye kujua watueleweshe wengine sisi.Tusisahau kuangalia idadi halisi ya hao wanaoambiwa wamejiandikisha zaidi ya mara moja. Naona km tunaweza kuwa tunapiga kura wewe,kumbe tunagawana kura chini ya m10,na zaidi ya 10m nyingine ni maalumu kwa upande fulani kujiwekea.