Naombeni msaada katika hili

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
Ndugu zangu naombeni kujua mshahara ambao serikali imeweka namaanisha net salary ambao fresh graduates wanapaswa kulipwa pindi wanapoajiliwa ni shilingi ngapi?
Mungu awabariki!
bampami!!
 
Last edited by a moderator:
Mishahara ya watumishi wa serikali -fresh inatofautiana kulingana na fani uliyosomea, mfano mhasibu anaanza na TGS D, wanasheria wanaanza na TGS E, hali kadhalika kwa madaktari na wengineo
 
Mishahara ya watumishi wa serikali -fresh inatofautiana kulingana na fani uliyosomea, mfano mhasibu anaanza na TGS D, wanasheria wanaanza na TGS E, hali kadhalika kwa madaktari na wengineo

ahsante mkuu, namini hujanisaidia peke yangu tupo wengi hatujui hilo.
Naomba m/unisaidie tena yani hata hizo TG E/D sizijui:
labda mfano TGS E zinaanzia Shlng ngapi mpaka ngapi.
Na mimi nimesoma masomo ya biashara ktk level ya chuo kikuu.

Naomba usichoke kunielewesha nimegundua kitu hiki kujua ni mhimu sana.
Ahsante.
 
Back
Top Bottom