Naombeni msaada katika hili

UMUNYU

JF-Expert Member
Jan 28, 2017
685
484
Miaka 3 iliyopita nilipata ufadhili wa kusomeshwa huko Ulaya! Kabla sijaenda mwajiri alinitaka nimsainie mkataba kuwa nitakaporejea nitamtumikia kwa miaka mitatu kabla ya kuniruhusu nifanye mambo mengine!

Ajabu nimerudi nimekuta yeye anadai nilisaini bond ya miaka mitano!Naombeni ufafanuzi namna ya kuondokana na kifungo hiki
 
Hicho sio kifungu kawekeza hela kwako fanya kazi mkuu miaka mitano
.... Sio mingi
 
Watanzania bhana wakat unaenda ulichekelea sana hukujua gharama alizotumia yeye sasa unaambiwa ufanye kazi unaona kifungo tena, fanya kazi wew.
 
Watanzania bhana wakat unaenda ulichekelea sana hukujua gharama alizotumia yeye sasa unaambiwa ufanye kazi unaona kifungo tena, fanya kazi wew.
Nadhani hujanielewa!Katika ofisi ninayofanyia kazi kuna watumishi wa aina mbili yaani,wale ambao wana mkataba wa miaka 5 na wale wa miaka 3!Tatizo Mimi niko kwenye mkataba wa miaka 3!Isipokuwa mkataba kwa kuwa umeandikwa kiujumla unadai miaka mitatu Au mitano
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom