A adamchalamila New Member Aug 27, 2015 2 0 Dec 20, 2016 #1 Je Kuna uwezekano wowote Juu ya Mwanaume kutoweza Kutungisha Mimba Maisha yake Yote?
B Barbra JF-Expert Member Oct 19, 2016 1,046 943 Dec 22, 2016 #3 Kutoweza kutungisha mimba kupo na kunasababu zake na tiba zipo na sio maisha yake yote hatoweza