Naombeni msaada juu ya hili pls

Wa Bagamoyo

Senior Member
Apr 2, 2012
118
12
Habari wana JamiiForums

Tafadhari mwenye uelewa juu ya kufungua organization ambayo inakua kama charity plz naomba msaada, maana mimi na wenzangu wa hapa TZ na UK tunataka fanya hichi kitu plz wadau naomba ushauri wenu
 
organization ambayo ni charity lazima isajiliwe na msajili wa vyama vya hiari, ubainishe madhumuni yake (yasiwe biashara) kama biashara uanzie msajili wa makampuni.pili iwe na ofisi inayotambulika na majukumu yasipingana na sheria au taratibu za jamhurithanks
 
Back
Top Bottom