Naombeni msaada juu ya app yangu waungwana.

May 17, 2016
11
14
E bwana nina app yangu Inaitwa "Zote Muhimu" ni webview application, nimeangalia kwa jicho langu naona haina matatizo, ila sijui kwa wenzangu!
Idea ilikua kutengeneza app ambayo itamrahisishia Mtanzania ambaye ana application nyingi kwenye simu yake hadi simu yake inakuwa slow, aweze kuwa na app moja, ambayo ni hii ninayoongelea na aweze kupata huduma karibia zote sehemu moja---- kama vile Radio zote, Blogu zote, Mitandao ya kijamii, ma tovuti zote zinazotembelewa na watu wengi hapa tanzania.

Nimeweka matangazo ya Admob kama njia ya kupata matangazo.

Ukurasa wa kwanza wa app, hauoneshi baadhi ya vitu kwenye simu yangu ya android 4.3, ila kwenye Android 6 kila kitu kinafanya kazi sawa.
Naombeni support yenu kwa kunitoa kasoro au kunipa ushauri niongeze nini na nitoe nini, au niachane nayo tu...tafadhali naomba usinipe negative review kwenye play store, itaathiri picha ya app hata kama nitafanikiwa kufanya marekebisho.
Najua kuna watu wanaojua sana zaidi yangu na wana lengo la kusaidia amateur kama mimi, nategemea msaada wenu nikiamini ipo siku nitaweza zaidi. Thanks in advance wana tech.

Zote Muhimu -Apps,Blogs & Radio Zote Bora Pamoja. – Програми Android у Google Play
 
Hongera Kwa Kuthubutu Mkuu
 
Back
Top Bottom