Naombeni msaada juu course ya kusomea

vee15

Senior Member
Aug 8, 2016
118
54
Nimesoma diploma ya procurement and supplies management sasa nataka kusoma bachelor ila sitaki tena kusoma procure nataka niibadilishe mana haina soko zuri
naombeni ushauri nisome nini au kozi gani itafaa kulingana na nilichosoma kabla.
 
Pitia TCU guidebook, maswali gani hayo bwana?
 
Nimesoma diploma ya procurement and supplies management sasa nataka kusoma bachelor ila sitaki tena kusoma procure nataka niibadilishe mana haina soko zuri
naombeni ushauri nisome nini au kozi gani itafaa kulingana na nilichosoma kabla.
We ulikuwa na malengo ghan kusoma hiyo kozi ????
Kesho guide book inatoka
Pia funguka nn kiu yako
 
Daa ki ukweli kwa mara y kwanza ckupenda ila nililazimshwa kuisoma iyo but now ni maamuzi kwaajili y maisha yangu ya baadae yatasaidika nini na elimu yangu sitak kujuta
But kiu yangu ni kisoma kitu ambacho nitafit popote ila sipendi science wala too much hesabu
 
Nimesoma diploma ya procurement and supplies management sasa nataka kusoma bachelor ila sitaki tena kusoma procure nataka niibadilishe mana haina soko zuri
naombeni ushauri nisome nini au kozi gani itafaa kulingana na nilichosoma kabla.
Kaka kapige bachelor ya procurement and logistics
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom