Pitia TCU guidebook, maswali gani hayo bwana?Nimesoma diploma ya procurement and supplies management sasa nataka kusoma bachelor ila sitaki tena kusoma procure nataka niibadilishe mana haina soko zuri
naombeni ushauri nisome nini au kozi gani itafaa kulingana na nilichosoma kabla.
We ulikuwa na malengo ghan kusoma hiyo kozi ????Nimesoma diploma ya procurement and supplies management sasa nataka kusoma bachelor ila sitaki tena kusoma procure nataka niibadilishe mana haina soko zuri
naombeni ushauri nisome nini au kozi gani itafaa kulingana na nilichosoma kabla.
Daa ki ukweli kwa mara y kwanza ckupenda ila nililazimshwa kuisoma iyo but now ni maamuzi kwaajili y maisha yangu ya baadae yatasaidika nini na elimu yangu sitak kujutaWe ulikuwa na malengo ghan kusoma hiyo kozi ????
Kesho guide book inatoka
Pia funguka nn kiu yako
Hongera mkuu, hivi ni GPA ya mwaka wa mwisho ndo wanaangaliaga si ndio?Ndii ninayo
Dah moya we no nooouuumah xana!!!Fanya degree ya Law..
Kuna ugomvi unakuja wa opereshe. UKUTA...tutakuhitaj.
Kaka kapige bachelor ya procurement and logisticsNimesoma diploma ya procurement and supplies management sasa nataka kusoma bachelor ila sitaki tena kusoma procure nataka niibadilishe mana haina soko zuri
naombeni ushauri nisome nini au kozi gani itafaa kulingana na nilichosoma kabla.