Naombeni msaada jinsi ya Kujiunga na Chuo cha Ubaharia Posta (DMI)

Itabidi usome kozi ya awali ya ubaharia(Mandatory certificate) ambazo ni;

1.Elementary First Aid (EFA),
2.Fire Fighting and Fire Prevention, 3.Personal Survival Techniques(PST),
4.Personal Safety and Social Responsibilities (PSSR) na
5. Ship Security Awareness (SSA) hizi unaenda kuzisoma DMI au Chuo chochote duniani kinachotambulika na IMO na kinatoa vyeti vya STCW.

Gharama za kusoma hizo kozi zote 5 Kwa bongo ni kama laki 7.2 za kitanzania.

Baada ya kumaliza kusoma hizo unatakiwa utafute seamen book ambayo ni kama kitambulisho chako baharia kinachotoa taarifa ya ujuzi wako,utaifa na meli ulizotumikia.

Kwa vile unataka uwe baharia wa meli za mafuta na gesi itakubidi usome na Kozi ya Ship Tanker bila hii uwezi kufanya kazi katika meli za mafuta au gesi.

Niaje Bro. ..?
naomba namba yako ninamachache ya kuzungumza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom