Naombeni msaada jamani

jov

Senior Member
Aug 20, 2012
121
9
Nilikukuwa natumia computer yangu kuna jamaa yangu kaweka flash yake .
Programe zote zikabadilika na kuwa katika format ya vlc sielevi nifanyeje.maana mbaya zaidi kuna programe ya my lockbox nilikuwa nimeweka vitu vya muhimu nalo pialimebadilika na hata halifunguki.
Nisaidieni kwa aliye na ujuzi.
 
kama una VLC installed jaribu kuuninstall uone kama itaondoa file associations, au fanya system restore.
 
Nilikukuwa natumia computer yangu kuna jamaa yangu kaweka flash yake .
Programe zote zikabadilika na kuwa katika format ya vlc sielevi nifanyeje.maana mbaya zaidi kuna programe ya my lockbox nilikuwa nimeweka vitu vya muhimu nalo pialimebadilika na hata halifunguki.
Nisaidieni kwa aliye na ujuzi.
  • Download hiyo attached file
  • ​Extract kupat .reg file
  • Double click then restart PC
  • ​Credit kwa chief-mkwawa, kuna post aliweka hicho kifaili
 

Attachments

  • Default_LNK_(Shortcut).rar
    1.3 KB · Views: 45
  • Download hiyo attached file
  • ​Extract kupat .reg file
  • Double click then restart PC
  • ​Credit kwa chief-mkwawa, kuna post aliweka hicho kifaili

poa ndugu najarubu ila umeme umekata ntakujulisha ila links hiyo no shortcut imegoma
 
Nenda kwenye hii link: https://shared.com/89b62npqjl?s=l kisha download hilo file.
Ukimaliza kudownload, extract "linkfix_vista.reg" kisha install.
Baada ya kuinstall, restart pc yako.....
Kama hakutakuwa na mabadiliko, leta feedback....

poa Ila umeme umekata ntakupa taarifa kama ukirudi ila hata browser zinamegoma.kama nikiidownlodia PC nyingine nikaiweka kwenye flash labda
nitakujulisha
 
Ku unstall imegima.nipe procederes za system Restoration
open run then type : rstrui windows ya sytem restore itafunguka, kama chagua option ya "Restore my computer to an earlier time", kama unabahat utaona calendar yenye tarehe ambazo ziko bold, hizo ndo siku zenye restore points, chagua iliyo karibu au siku ambayo hilo tatizo lilianza... then restore
 
Asante sana mwal RTC pamoja na wengine wote. bila kukusahsu chief mkwawa.tatizo limeisha
 
Ila kuna moja tena huwa inanikela
kuna kibox kinajitokeza kimeandikwa
16bit MS-DOS subsystem
c:/system/32/system exe
window has encountered illegal instructions.
kutaka kukatoa nafanyaje?
 
..youtube kuna solution nzur sana inhusiana na mamb ya regedit we google tatzo kama llvo.
Au google hv how to delete user preference from regedit.utaona vdeo utube.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom