Naombeni msaada jaman.....!!!

Korowele

Member
Jul 5, 2017
13
12
Asalam alaykum/ Halleluya....poleni kwa majukum ya kazi .....Kwa anaefahamu ufanyaji kazi wa iyo meegopad T09 msaada tafadhali
20190814_200749.jpg
 
Ni desktop computer mkuu sema katika umbo Dogo, unaweza ukaweka windows humo, ukanunua na mouse na keyboard ukatumia.

Sababu ya umbo lake dogo unaweza pia kufunga nyuma ya monitor ama tv Isionekane, hasa kwenye vesa mounting.

Nzuri pia kuifanya Kama tv box, ikakaa na tv yako kwa ajili ya kuangalizia movies, mpira etc.
 
Asntee sana mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom