Naombeni msaada ivi kunauwezekano ukapiga ultra sound then mimba isionekane angali unaziona dalili za mimba?

Jul 9, 2015
35
14
Maana kuna mdada analalamika tumbo linamuuma pia anahisi dalili za mimba na kajipima kakuta negative

ila kaenda hospitali kaonekana postive ....

na kwakutumia ultra sound haionekani kitu yani yupo normal na bado

anableed japo sio siku zake za kubleed....!!!

Msaada tafadhali hapo ....madocta
 
Apo kuna 2 possibilities

Ya kwanza mimba ni ndogo kiasi ambacho hakiwez kuonekana kwenye ultrasound... Mimba ikiwa chini ya week 5 haiwez kuonekana kwenye ultrasound.

Ya pili..
Kama anapata bleeding ambayo sio ya kawaida inawezekana
Either alikuwa mjamzito na ujauzito umetoka or ni mjamzito lakin ujauzito unatishia kutoka..

So ultrasound hata kama hawajaona ujauzito wanatakiwa kutwambia kama Cervix ipo open closed.. Hii ina maana yake.
 
Kama ni open ndo vip na closed ndo vip??? Ufafanuzi kidogo??
 
Damu kutoka in early pregnancy pia ni dalili ya implantation, embryo anapojiatach kwenye ukuta wa uterus huwa bleeding sometimes inatokea so kwangu naiona kama implantation bleeding
 
Habari!

Poleni.. Ila kabla sijatia maneno mengi nikuambie kitu kimoja, SIKU ZOTE KWENYE SUALA LA AFYA UNAPOJIELEZA KWA MTAALAM au HATA KUULIZA KWA WATU WEKA MUDA AMBAO SUALA HILO LIMETOKEA.. Medical History ni History Kama nyinginezo Zinajengeka Katika dhima ya MUDA.

Tuendelee..

Mimba ni ya umri gani! (Au mara yake ya mwisho kuona siku zake kwa mara ya mwisho ni lini)

Je, io damu ameanza kuiona lini pia.?

Kwa haraka haraka hapo kuna uwezekano mimba imetoka, ila bado homoni za mimba ktk mkojo bado zipo juu (mimba ikitoka/kuharibika leo bado ukipima kwa mkojo itaonekana tu ndani ya siku 7)

Kuwa makini, na unaweza kumpeleka kituo cha karibu kwa huduma zaidi.

Asante na Karibu
 
Hii inawezekana coz hata leo dalili za mimba zimeanza kupungua tofauti na juzii...

Maumivu ya tumbo yameanza kupungua pia

Nadhan ninhesubiri kwa mida kidogo then ndo akapime tena... sijui mnaonaje madocta hapo
 
Back
Top Bottom