Naombeni msaada ili niweze kupata platform itakayonipa nafasi ya kunisajilia uwezo na kipaji changu cha kuimba

Umuzukuru

JF-Expert Member
May 30, 2019
609
539
Habari wakuu,
Naomba niende Moja kwa Moja kwenye mada husika

Wakuu naombeni msaada ili niweze kupata platform itakayonipa nafasi ya kunisajilia uwezo na kipaji changu cha kuimba ili kutengeneza nafasi ya kuweza kupata udhamini

Pia kwa mwenye connection na wadau wa muziki nahitaji msaada wake ili kupata nafasi ya kurekodi wimbo au hata nyimbo maana uchumi bado ni kikwazo sana kwangu Jambo linalofanya kushindwa kufanya chochote chenye kueleweka katika safari hii ya maisha ya muziki

Kama una msaada au hata wazo,maoni na ushauri usisite kuutoa

Nb:aina ya muziki ninaoimba ni bongo fleva,RnB na aina nyinginezo nazimudu kwa kiasi Fulani

Natanguliza shukrani za dhati kwenu wote
 
Weka kazi zako hapa.
Instagram watag kina Salam sk,take,mediakubwa kubwa,wasanii wakubwa...
Fungua aacount tiktok..likeee .. Post kazi zako humo ..
Acha kukaa king'ombe ng'ombe
 
Back
Top Bottom