Naombeni mrejesho kuhusu pikipiki mpya aina ya Lifo

Babapecha

Senior Member
Jul 23, 2019
177
150
Hivi karibuni kuna pikipiki mpya zimeingia zinaitwa lifo zinasifika kwa ulaji mdogo wa mafuta zina Cc 110 kwa wale ambao mmeshaitumia naombeni kufahamu

Upatikanaji wa spare
Uimara wake
N.k
 
Mm namsaidia hapa
HTB1mdebXnjxK1Rjy0Fnq6yBaFXaW.jpg
 
Kwa harakaharaka kwa kutumia sayansi ya engine pekee yake bila ya kutumia experience ya chombo husika ni kwamba kwa pikipiki yenye CC 110 tegemea yafuatayo:

1.Ni pikipiki nzuri sana kwa matumizi ya mjini kwa sababu itakuwa haili mafuta.

2.Hazifai hata kidogo katika mazingira ya vijijini na katika barabara mbovu.

3.Hazifai hata kidogo katika kuzipigisha kazi nzito ikiwa ni pamoja na kupakia mizigo mizito.

4.Ni nzuri sana katika fuel economy.

5.Hazifai kabisa katika uendeshaji wa rafu na speed kubwa.

6.Zinahitaji matunzo ya hali ya juu sana.

7.Ni nzuri sana kwa matumizi binafsi.

8.Hazifai kabisa kwa bodaboda kwa sababu mara nyingi shughuli za bodaboda ni za shuruba.

9.Ni nzuri mno kwa kuendea ofisini na kurudi nyumbani.

10.Ni nzuri mno kwa mtu wa kipato cha chini ambae hana mishe nyingi na ngumu.
 
Engine yake imetumika pia katika mahindra ,honda 110, pamoja na hero ila kwaumbo la hiyo piki piki sikushauri japo engine yake ni powerfuly sana mafuta inanusa

sent from HUAWEI
 
Hivi karibuni kuna pikipiki mpya zimeingia zinaitwa lifo zinasifika kwa ulaji mdogo wa mafuta zina Cc 110 kwa wale ambao mmeshaitumia naombeni kufahamu

Upatikanaji wa spare
Uimara wake
N.k
Nunua mkuu 1,5 million sio mbaya
 
Hivi karibuni kuna pikipiki mpya zimeingia zinaitwa lifo zinasifika kwa ulaji mdogo wa mafuta zina Cc 110 kwa wale ambao mmeshaitumia naombeni kufahamu

Upatikanaji wa spare
Uimara wake
N.k
kuna FIFO baada ya LIFO
 
Back
Top Bottom