Naombeni mnisaidie muongozo wa kufundishia lugha ya kiswahili

GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,087
2,193
Wakuu habari ya majukumu ya kutwa. nina rafiki yangu anaomba nimsaidie katika kujifunza lugha ya kiswahili. Tatizo sina muongozo wa kumfundishia, naomba kwa yeyote aliyenao anisaidie. Natanguliza shukrani

sent using
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom