Naombeni mnisaidie mpangilio wa kazi kutokana na Kombi hizi

Soma kwanza ndugu yangu!

Mambo ya kazi kwq sasa ni magumu sana usije ukakatishwa tamaa
 
Naombeni mnisaidie mpngilio wa kazi kutokana na Kombi hizi
HKL
HGL
HGK

HKL hutokuwa na tofauti na Mwanasheria aliyeitia hasara kubwa nchi Chenge japo utabobea katika Sheria.
HGL unaweza ukamfikia Tundu Lissu kwa kujua Sheria japo utashindwa tu kuuiga ule upayukaji wake uliotukuka.
HGK unaweza ukawa Mfanyakazi mzuri wa BAKITA na mtohoaji mzuri wa maneno kama akina Makinikia.
 
Pamoja
 
HGL- You Can Be A Lawyer, Land Officer, Aircraft Controller, Mining Officer, Teacher, Linguist, Journalist, IT Expert, Law Enforcer, Public Administrator, Writer, Philosopher, Et All.
 
Back
Top Bottom