Naombeni mnisaidie katika hili, nifanye nini kumrudisha baba mtoto wangu?

odamae

Senior Member
Nov 5, 2020
163
291
Nitumie njia gani baba mtoto wangu arudi jamani inaniumiza mtoto kuishi maisha ya kuhangaika badae na mama wa kambo. Kwa nilivyomfatilia yupo na mwanamke mwingine ametambulisha hadi ndugu zake.

Ila tukiwasiliana ananiambia ana mawazo mengi sana anatamani turudiane tulee familia lakini kuna muda anatamani kama aendelee kumove on so through this sielewi mwisho itakuaje coz ananiambia hata huyo aliyenaye saa hizi anaweza asiwe naye katika maisha ya badaye yani simuelewi kabisa.
 
Jirekebishe tu mkuu kuzaa na mtu sio ticket ya kuolewa nae so kama ulikua kivuruge kisa umezaa nae jua kua anaweza ku move on usipobadilika fanya abrupt change atakua wako tu.

Kila la kheri
 
Pole sana mkuu.

Angalia nini sababu ya yote hayo.

Omba mkutane au mtafute rafiki yake ambaye anamsikiliza then mueleze hatima ya mtoto na malezi kwa ujumla.

Hakika ukioangilia mazungumzo vyema kwa faida ya mtoto ataweza kurudi.

Jaribu kufanya hivyo mkuu.
 
Nitumie njia gani baba mtoto wangu arudi jamani inaniumiza mtoto kuishi maisha ya kuhangaika badae na mama wa kambo. Kwa nilivyomfatilia yupo na mwanamke mwingine ametambulisha hadi ndugu zake ila tukiwasiliana ananiambia ana mawazo mengi sana anatamani kurudiane tulee familia lakini kuna muda anatamani kama aendelee kumove on so through this sielewi mwisho itakuaje coz ananiambia hata huyo aliyenaye saa hizi anaweza asiwe naye katika maisha ya badaye yani simuelewi kabisa.
Kwanini aishi na mama wa kambo?
Kwani wewe utaondoka maishani mwake, au hutakuwa na visitation rights?

Kaeni mje na plan nzuri ya co-parenting, ikiwezekana msaidiwe na social worker na hiyo plan iandikishwe mahakamani. Ihusishe utunzaji wa mtoto na majukumu ya kila mzazi.

Pia, watu wako watatu in case wewe utasafiri au utakuwa na udhuru, na yeye pia. Na mambo mengine yenye faida kwa mtoto.
Mtu asietekeleza hiyo plan ahukumiwe kisheria.
 
Kuwa mkweli.

Unasema 'anatamani' kukurudia mlee familia, halafu unaomba ushauri wa namna gani umrudishe!!

Acha kuzunguka wewe ndo unahangaika, unateseka.
 
Mkuu kaa kwa kutulia,,, Jamaa ako nae anaonekana hana msimamo unaoeleweka so be patient..

Ila unaonekana una miyeyusho sana... Huenda sababu ya kuachana ni wewe ndio maana sasa hvi unahangaika kumrudisha... Kinadada mkishakuwa na watoto mnaanza kuwa pasua vichwa kwa mabwana zenu mkijua hamuezi achwa kwasababu mna mtoto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom