Naombeni Mnipe Sifa Za Koo Hizi (Ukoo) Za Kichaga na Sehemu wanapotokea Moshi

Mayunga234

JF-Expert Member
Feb 17, 2017
1,726
1,989
~>Shayo
~>Lyimo
~>Meela
~>Mtei
~>Mosha
~>Meena
~>Mawalla
~>Kimaro
~>Rimoy
~>Sambeke

Hawa ni baadhi Ya Watu wa koo hizi niliokutana nao nataka kujua sifa zao na wanatokea maeneo gan Moshi
Kwasababu kuna baadhi ya koo zingine ni matatizo
 
Akina Kimaro na Kimario wana mimacho haoo... ka gololi :D:D

Kama umekaa jirani na Kimaro hapo, mtazame usoni tafadhali lakini usicheke!! Ukicheka, mi simo manake jamaa wana hasira kishenzi!

Hivi kuna msichana wa Kichaga kutoka akina Lyimo humu?! Kama upo, ni-PM namba yako ya M-Pesa tafadhali manake sijawahi ona Lyimo mbaya... cjui akizaliwa mwenye sura mbaya anapigwa marufuku asije mjini!!
 
Akina Kimaro na Kimario wana mimacho haoo... ka gololi :D:D

Hivi kuna msichana wa Kichaga kutoka akina Lyimo humu?! Kama upo, ni-PM namba yako ya M-Pesa tafadhali manake sijawahi ona Lyimo mbaya... cjui akizaliwa mwenye sura mbaya anapigwa marufuku asije mjini!!

Hakunaga tabia ya ukoo fulani. Ndio maana utakuta kwenye ukoo kuna walevi na ambao hawagusi pombe. Kuna wachawi na washika dini na tabia nyingine nyingi.

Ukitaka kujua tabia ya mtu focus kwa huyo individual mwenyewe. Huwezi kujua tabia ya mtu kwa ku study tabia ya mtu mwingine wa familia yake, ukoo wake, kabila lake au utaifa wake.

Utapotea.
 
Yan nataka sifa za hizo koo
 
Yan nataka sifa za hizo koo
Hakunaga kitu kama hicho mkuu. Focus kwa mtu mmoja mmoja. Uki generalize huwezi kupata jibu la ukweli.

Naweza kukuambia akina Mosha ni ukoo wa watu wacha Mungu sana na ni watu watafutaji sana ila huko huko kwenye Mrema kuna member wa ukoo ambao ukiwaona utakuja kunilaumu kuwa nilikudanganya kuhusu huo ukoo.
 
Back
Top Bottom