Kima mdogo
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 303
- 46
Nimevutiwa sana na michango ya wana jf katika mambo mengi sana hasa katika siasa. MIMI NI MTANZANIA,MUISLAMU NA MWANACHAMA HAI WA CDM. NAOMBENI MNIPOKEE.

Nimevujiwa sana na michango ya wana jf katika mambo mengi sana hasa katika siasa. MIMI NI MTANZANIA,MUISLAMU NA MWANACHAMA HAI WA CDM. NAOMBENI MNIPOKEE.

<br /sina maana hiyo! Ila ahsante.

Karibu sana, ila JF haina itikadi ya chama chochote wala dini yoyote! Karibu tujenge nchi yetu!

<br / asante sana mkuuKaribu kima mdogo jamvini....

<br / thanks jejikaribu, umesha pokelewa.

<br / ah mbona kuwa vyama tofauti ni kawaida sn,mbona marehemu baba alikua amekunywa maji ya bendera ya kijani(ccm) mama cuf, dada udp, kaka tlp, dogo yy ni mweka hazina wa dp, mm cdm na tunapika na kula meza 1.teh teh, jina lako lina utata best! Mfaano mtu akikwambia wewe kima sisi hapa tumekutana watu wa vyama tofauti tofauti usije feel bad. Krb JF best where we dare to talk openly!

<br / ahsante kwa kunipokea, naahidi kukupa ushirikiano wa hali ya juu kuwadhibiti vigogo wanaosign MIKATABA FEKI.karibu sna mkuu

<br / ahsante mzee'Karibu sana ndg.
Una mbwembwe mazee....Nimevutiwa sana na michango ya wana jf katika mambo mengi sana hasa katika siasa. MIMI NI MTANZANIA,MUISLAMU NA MWANACHAMA HAI WA CDM. NAOMBENI MNIPOKEE.