Naombeni mnijuze kuhusu mikopo ya vijana ktk( tib)benki ya rasilimamli tz.

ninayo biashara sasa nataka niongeze bidhaa dukani kwangu,,,,,,,,,,,,kwa hiyo nataka wadau mnijuze kuhusu hawa jamaa wa TIB na desk lao la vijana cjui km kweli wanawapa vjana mikopo au lah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom