Naombeni mnijuze kaka na dada zanguni tafadhali... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni mnijuze kaka na dada zanguni tafadhali...

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MwanajamiiOne, Oct 7, 2010.

 1. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #1
  Oct 7, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Wandugu habarini
  Ninaomba kuuliza swali moja tu................ Ni kwa nini Tanzania iliamua kuwa na kawaida ya kufanya uchaguzi kila baada ya miaka mitano???

  To me kwa upeo wangu mdogo wa mambo haya ya siasa naona kama sometimes ni muda ambao si rahisi kwetu kuona mafanikio yoyote au rather kwa kiongozi kupata muda wa kutosha wa kutekeleza ahadi zak alizoahidi wakati wa mchaguzi. Kwa sababu
  1. Ile mwaka wa kwanza (say na nusu au miwili) baada ya uchaguzi viongozi wetu weengi tumaona wanaitumia kwa kulipa kujiestablish kwanza mf. kulipa madeni ya pesa walizotumia kwenye kampaini; kupanga ma strategies and plans juu ya namna ya kutekeleza yale yooote walioahidi.(Including kufanya ziara za utambulisho ndani na nje ya nchi lol
  2. Miaka miwili ya mwisho kufanya tathmini ya nini kilofanyika (sijui kama hii hufanyika ) pamoja na kuanza kupanga mikakati ya namna ya kugombea tena.

  So in total miaka mitatu au tatu na nusu hutumika kwa hizi kazi za ziada na kutuacha na miaka miwili au moja na nusu tu ya kutekeleza ahadi za miaka mitano ambazo tuliziahidi kipindi cha kampaini.

  Tungekuwa tunaweka let say fixed period say 8 years then uchaguzi. Hii ya five five tunapoteza tu resources nyingi ambazo pengine tungetumia kwenye mambo0 ya maendeleo tungekuwa mbali nafikiri.

  Sijui but naomba mnisaidie kuelewa vizuri hii siasa ndugu zangu.

  Natanguliza shukrani zangu kwa unyenyekevu. Aksanteni
   
 2. Mpendanchi-2

  Mpendanchi-2 JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2010
  Joined: Apr 4, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  Kwa hiyo mkifanya kosa mkachagua boga kama tulivyokosea 2005 , ndiyo kusema liendelee kuwatafuna hadi miaka nane huku mkisikitika tu!! NO, Noooooooooooooooooooooooo!!!!!!!! Hilo haliwezekani, tena tungeweza hata ipungue iwe miaka minne tu inatosha sana. Kwa mtu makini na mzalendo hata akionesha mwelekeo wa kuattua kero za wananchi inatosha kabisa kupewa tena madaraka, kama atakuwa hajakamilisha ahadi na matendo yake na rafiki zake ya kifisadi yanaendlea huyo hana budi kupigwa chini au ktemwa kama tunavyomtema JK mwaka huu.
   
Loading...