Naombeni mnijuze jinsi ya ku-certify vyeti vyangu

Swahaba

Member
Jul 14, 2017
7
1
Habari,naombeni mnijuze jinsi ya ku-certify vyeti vyangu,pia jins yakupata "transcript" na kuongeza jina la tatu kwenye vyeti.
 
Kucertify.. Inabidi uende kwa mwanasheria yeyote then ahakikishe nakala zako za cheti na cheti uriginal.. Kama vinamatch, atagonga muhuri wa kucertified
 
Nenda ofisi za rita ulipopatia hicho chet then watakwambia ukatoe copy mbil af utaenda bank utaripia elf tatu risist ya maripo utarud nayo then pale ofsin utaandikiwa risit ambay itabandikwa Ken cop moja kati ya zile mbil af utapewa Wwe ko hapo unakuwa umeverify sasa hiyo pindi ukiambatanisha na form za mkopo ndo itagongwa mhuri na hakimu Jana nilikuwa nafabya hiyo kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante mkuu ila ninhitaji kwaajili ya kuattach kwenye portal ya ajira sasa sijajua inakuwaje naomba unieleweshe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kuuliza mkuu kwenye website ya utumishi wana hitaji certified copies ila kwenye soft copy sasa sjaelewa naomba ufafanuzi..

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani nende kwa hakimu/wakili ukiwa na original ya cheti pamoja na copy yake! Ukifika kwa hakimu/wakili ata certify copy ya cheti kupiga saini pamoja na muhuri wake baada ya kuthibitisha original yake! Baada ya certification yake you will take certified copy to proceed on your application!! Good luck!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kuuliza mkuu kwenye website ya utumishi wana hitaji certified copies ila kwenye soft copy sasa sjaelewa naomba ufafanuzi..

Sent using Jamii Forums mobile app
Soft copy maana yake ni kwamba, baada ya copy ya cheti chako kugongwa muhuri wa lawyer na signature yake (hapo cheti kipo certified) yaani CERTIFIED AS TRUE COPY OF THE ORIGINAL, uta scan hiyo copy then utai upload katika profile yako kwenye portal ya utumishi.

hard copy - unayo mkononi
soft copy - iko kwa PC or phone or hard disk (after being scanned)

Usisahau application letter pia unatakiwa ui sign mkuu, scan it, then upload it to your profile.
 
Back
Top Bottom