Boda mpya roho mkononi jamaa kakatwa mkono boda imeondoka!bajaj moja n kama ml8 pkpk moja n kama ml2.5 Ushaur wangu chukua pkpk 3 moja endesha ww mbil wape vijana kwa siku ikleta ata 8000 kwa moja sio mbaya usiwape mikataba ile ya baada sjui ya muda gan pkpk iwe yake then anza kupga kaz ww ukrud na 15 ukachangaya na 16 za ao vijana unalala na 25 na bado ukiwa na boda yako utakua na deal nyng kulko kumilk bajaj
Ahsante mkuu but nilipo naona bajaji zinapiga zaidi kuliko boda. Sasa nikiendesha mwenyewe naona ni vema zaidi kuliko kumpatia mtu.bajaj moja n kama ml8 pkpk moja n kama ml2.5 Ushaur wangu chukua pkpk 3 moja endesha ww mbil wape vijana kwa siku ikleta ata 8000 kwa moja sio mbaya usiwape mikataba ile ya baada sjui ya muda gan pkpk iwe yake then anza kupga kaz ww ukrud na 15 ukachangaya na 16 za ao vijana unalala na 25 na bado ukiwa na boda yako utakua na deal nyng kulko kumilk bajaj
Hayo yote ni matokeo au tuseme hizo ni "ajali kazini". Unaweza kuwa hata na taxi nayo yakakufika ya kukufika. Yote tufanye huku tukimkabidhi Mungu kila kitu kwa ulinzi na msaada wake.Boda mpya roho mkononi jamaa kakatwa mkono boda imeondoka!
Ni kweli mkuu. Kila jambo ukimtanguliza Mungu unafanikiwa.Hayo yote ni matokeo au tuseme hizo ni "ajali kazini". Unaweza kuwa hata na taxi nayo yakakufika ya kukufika. Yote tufanye huku tukimkabidhi Mungu kila kitu kwa ulinzi na msaada wake.
Hiyo ya pikipiki ina usumbufu sana.Bajaj moja n kama ml8 pkpk moja n kama ml2.5 Ushaur wangu chukua pkpk 3 moja endesha ww mbil wape vijana kwa siku ikleta ata 8000 kwa moja sio mbaya usiwape mikataba ile ya baada sjui ya muda gan pkpk iwe yake then anza kupga kaz ww ukrud na 15 ukachangaya na 16 za ao vijana unalala na 25 na bado ukiwa na boda yako utakua na deal nyng kulko kumilk bajaj.
Ahsante mkuu but nilipo naona bajaji zinapiga zaidi kuliko boda. Sasa nikiendesha mwenyewe naona ni vema zaidi kuliko kumpatia mtu.
Ukipiga mwenyewe na ukiwa makini ktk utunzaji wa shilling hutojuta, niliwahi kufanya hvo 2015 mkoani it was awesomeHabari za majukumu wadau wa jikuwaa la biashara. Ninampango wa kununua bajaji afu niendeshe mwenyewe. Je ni changamoto zipi hujitokeza katika biashara hii endapo unaiendesha mwenyewe?
Ahsante mkuu nakushukuru kwa mchango wakoHiyo ya pikipiki ina usumbufu sana.
Hawezi kupata pesa hiyo uliyoisemea hapo kiurahisi bila kusumbuana.
Ni bora anunue bajaj aisimamie mwenyewe hawezi kukosa elfu 30 hadi 50 kila siku akiwa serious.
Halafu bajaji ina usalama mkubwa kuliko bodaboda ambayo muda wowote unavunjwa miguu au kupasuliwa kichwa.
Ahsante mkuu. Naomba unijuze ni changamoto zipi ulikuwa unakutana nazoUkipiga mwenyewe na ukiwa makini ktk utunzaji wa shilling hutojuta, niliwahi kufanya hvo 2015 mkoani it was awesome
Ahsante mkuu kwa ushauti wakoCHANGAMOTO :
- watu siku hizi uchumi umeyumba hivyo idadi ya wateja imepungua sana
- kuwa tayari kuwa na wateja (wadada) ambao hawatalipa na watakufanya wewe "bajaji wao"
- mida mingi ya abiria (asubuhi na jioni) ndo mida ya foreni kubwa, hivyo unakosa kufanya routes nyingi
- itakubidi uwe na kituo maalum (kijiwe) ambacho unaweza kujikuta pia kuna waendesha bajaji wengine wengi na mambo ya kupakia abiria kwa foleni. Usisahau mambo ya ushirikina yapo kwenye hivyo vijiwe, hivyo mtegemee Mungu wako pia
- itakubidi kugawana faida mara moja moja na trafiki utakapovunja sheria
NB : kama una mawazo mengine ya Biashara sio mbaya kufanya, 8M sio mtaji mdogo.