Naombeni mnijuze hili wadau wa biashara

GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,087
2,193
Habari za majukumu wadau wa jikuwaa la biashara. Ninampango wa kununua bajaji afu niendeshe mwenyewe. Je ni changamoto zipi hujitokeza katika biashara hii endapo unaiendesha mwenyewe?
 
Bajaj moja n kama ml8 pkpk moja n kama ml2.5 Ushaur wangu chukua pkpk 3 moja endesha ww mbil wape vijana kwa siku ikleta ata 8000 kwa moja sio mbaya usiwape mikataba ile ya baada sjui ya muda gan pkpk iwe yake then anza kupga kaz ww ukrud na 15 ukachangaya na 16 za ao vijana unalala na 25 na bado ukiwa na boda yako utakua na deal nyng kulko kumilk bajaj.
 
bajaj moja n kama ml8 pkpk moja n kama ml2.5 Ushaur wangu chukua pkpk 3 moja endesha ww mbil wape vijana kwa siku ikleta ata 8000 kwa moja sio mbaya usiwape mikataba ile ya baada sjui ya muda gan pkpk iwe yake then anza kupga kaz ww ukrud na 15 ukachangaya na 16 za ao vijana unalala na 25 na bado ukiwa na boda yako utakua na deal nyng kulko kumilk bajaj
Boda mpya roho mkononi jamaa kakatwa mkono boda imeondoka!
 
bajaj moja n kama ml8 pkpk moja n kama ml2.5 Ushaur wangu chukua pkpk 3 moja endesha ww mbil wape vijana kwa siku ikleta ata 8000 kwa moja sio mbaya usiwape mikataba ile ya baada sjui ya muda gan pkpk iwe yake then anza kupga kaz ww ukrud na 15 ukachangaya na 16 za ao vijana unalala na 25 na bado ukiwa na boda yako utakua na deal nyng kulko kumilk bajaj
Ahsante mkuu but nilipo naona bajaji zinapiga zaidi kuliko boda. Sasa nikiendesha mwenyewe naona ni vema zaidi kuliko kumpatia mtu.
 
Bajaj moja n kama ml8 pkpk moja n kama ml2.5 Ushaur wangu chukua pkpk 3 moja endesha ww mbil wape vijana kwa siku ikleta ata 8000 kwa moja sio mbaya usiwape mikataba ile ya baada sjui ya muda gan pkpk iwe yake then anza kupga kaz ww ukrud na 15 ukachangaya na 16 za ao vijana unalala na 25 na bado ukiwa na boda yako utakua na deal nyng kulko kumilk bajaj.
Hiyo ya pikipiki ina usumbufu sana.
Hawezi kupata pesa hiyo uliyoisemea hapo kiurahisi bila kusumbuana.

Ni bora anunue bajaj aisimamie mwenyewe hawezi kukosa elfu 30 hadi 50 kila siku akiwa serious.
Halafu bajaji ina usalama mkubwa kuliko bodaboda ambayo muda wowote unavunjwa miguu au kupasuliwa kichwa.
 
Uko sahihi sana bajaj ukiipaki una uhakika sana maana unakusanya watu 4 wanachanga bukubuku unawapeleka ukifika unangoja wengine unarudi nao.
Pikipiki hadi ugombanie kichwa kimoja cha elfu moja au upange foleni kwenye bodaboda 50.
Ahsante mkuu but nilipo naona bajaji zinapiga zaidi kuliko boda. Sasa nikiendesha mwenyewe naona ni vema zaidi kuliko kumpatia mtu.
 
Habari za majukumu wadau wa jikuwaa la biashara. Ninampango wa kununua bajaji afu niendeshe mwenyewe. Je ni changamoto zipi hujitokeza katika biashara hii endapo unaiendesha mwenyewe?
Ukipiga mwenyewe na ukiwa makini ktk utunzaji wa shilling hutojuta, niliwahi kufanya hvo 2015 mkoani it was awesome
 
Hiyo ya pikipiki ina usumbufu sana.
Hawezi kupata pesa hiyo uliyoisemea hapo kiurahisi bila kusumbuana.
Ni bora anunue bajaj aisimamie mwenyewe hawezi kukosa elfu 30 hadi 50 kila siku akiwa serious.
Halafu bajaji ina usalama mkubwa kuliko bodaboda ambayo muda wowote unavunjwa miguu au kupasuliwa kichwa.
Ahsante mkuu nakushukuru kwa mchango wako

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
CHANGAMOTO :
- watu siku hizi uchumi umeyumba hivyo idadi ya wateja imepungua sana
- kuwa tayari kuwa na wateja (wadada) ambao hawatalipa na watakufanya wewe "bajaji wao"
- mida mingi ya abiria (asubuhi na jioni) ndo mida ya foreni kubwa, hivyo unakosa kufanya routes nyingi
- itakubidi uwe na kituo maalum (kijiwe) ambacho unaweza kujikuta pia kuna waendesha bajaji wengine wengi na mambo ya kupakia abiria kwa foleni. Usisahau mambo ya ushirikina yapo kwenye hivyo vijiwe, hivyo mtegemee Mungu wako pia
- itakubidi kugawana faida mara moja moja na trafiki utakapovunja sheria

NB : kama una mawazo mengine ya Biashara sio mbaya kufanya, 8M sio mtaji mdogo.
 
Ahsante mkuu kwa ushauti wako
 
Back
Top Bottom