Naombeni mnieleweshe namna ya kuchanganya asali mbichi na unga wa mdalasini

GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,087
2,193
Habari ya jumapili wadau. Nina asali mbichi kiasi cha lita moja. Sasa nataka nichanganye na unga wa mdalasini. Je ni kiasi gani cha unga wa mdalasini natakiwa kuweka kwemye asali lita moja. Naombeni mnieleweshe wadau. Natanguliza shukrani

sent using
 
Back
Top Bottom