Naombeni mifano ya cases report kwa OBY, Paediatricks na Internal Medicine

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
599
206
Habari za muda huu ndugu zangu, naombeni mifano ya cases report maana nahitaji kuandaa cases zangu ila kinachonishinda upangiliaji mzuri wa kazi, asanteni sana na samahani kama kutakuwa nimetumia lugha vibaya.
 
Uko mwaka wa ngapi mdogo wangu
Nipo mwaka wa kwanza kaka ndio naingia semister ya pili mwezi wa 3, nimeamua nianze kujifunza kufanya examination na kureport cases maana wengi wao inawashinda kutokana na shida ya walimu chuoni kwetu
 
Habari za muda huu ndugu zangu, naombeni mifano ya cases report maana nahitaji kuandaa cases zangu ila kinachonishinda upangiliaji mzuri wa kazi, asanteni sana na samahani kama kutakuwa nimetumia lugha vibaya.
tafuta rating scale ya clinical skills na patient care kwa level yako itakuongoza sana
 
Back
Top Bottom