Naombeni mchango wenu wa mawazo kuhusu biashara ya uber

Unaweza kukadiria average kwa siku ni shingapi mkuu?
Naam kwa pikipiki kima Cha chini amekosa kabisa 40000,bajaji 50000 hivyo hivyo .
Roughly faida ni 50000+ per day techniques za kufaidi na kupiga pesa ktk bolt&Uber ni hizi..
-Amka asubuhi fanya kazi kuanzia saa 12 asubuhi Hadi nne kamili aaubuhi pumzika Tisa kamili Rudi barabarani Hadi mbili kamili au tatu kamili..
-Jipange shift ya usiku,mara nyingi hua na pesa sana, kwanini !!wengi hua wanakua wamelala,idadi ya wanaorequest hua ni kubwa kuliko wanaotoa huduma.
*Changamoto ya usiku ni kufanyiwa uhalifu na kuporwa pikipiki Kama utakua na umakini ktk hilo piga kazi.
-Anza Tisa kamili mchana Hadi 5 nanusu usiku panatosha kabisa
 
Uber gari boss nako vipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom