Naombeni Mbinu za Kuishi na Mtu Mwenye Roho Mbaya (ROHO YA KWANINI)

gipsfuture

Member
Aug 16, 2012
6
0
Hlw JF Naombeni mchango wenu utakao nisaidia kuishi na mtu mwenye roho mbaya....(Asie penda maendeleo ya mwenzie)
 
Inategemea kuishi nae kama nani au kwa vipi, labda ungesema ni nani kwako, mume, mke, mpangaji mwenzio, mwanafunzi/mfanyakazi mwenzio, ndugu yako au nani kwako.

Kisha ndio tutakuwa katika nafasi nzuri kukushauri, the best way ni kutokuishi nae ila wakati mwingine haiepukiki, ni nani kwako huyu? Tuambie tukushauri vizuri zaidi
 
Yanini kujitafutia shida kiasi hicho ya kuishi na mtu asiyependa maendeleo yako? Unajitafutia magonjwa ya moyo na si ajabu kufa siku si zako, maana chochote utakachofanya chenye maendeleo kwako/kwenu basi ni ugomvi tu. Sepa haraka sana kama hayuko tayari kubadilika.

Hlw JF Naombeni mchango wenu utakao nisaidia kuishi na mtu mwenye roho mbaya....(Asie penda maendeleo ya mwenzie)
 
Hlw JF Nimuda mrefu sasa nimekuwa nikiishi na rafiki mwenye roho mbaya A.K.A Roho ya kwanini...Kila ninapo pata mafanikio fulani yeye hunichunia...NIFANYEJE???????????
 
Hlw JF Nimuda mrefu sasa nimekuwa nikiishi na rafiki mwenye roho mbaya A.K.A Roho ya kwanini...Kila ninapo pata mafanikio fulani yeye hunichunia...NIFANYEJE???????????

hapo pekundu ni dhahiri umeweza tayari...
swali lako linasemaje sasa?
 
Mwambie ukweli live kila anapotaka kukuharibia hapo utambadilisha kidogo kidogo. Muombee Mungu ambadilishe na jitaidi kumtendea mema kuliko kawaida. Mpigie story za watu wenye roho mbaya wasiopenda maendeleo ya wenzao na umuonyeshe madhara wanayokuja kuyapata hata kama story ni za kutunga. Muonyeshe kwamba wewe unapenda apate maendeleo makubwa hata kama anayo tayari ungependa iwe zaidi ya hapo hiyo itamfanya ajirudi.
 
Tupe kisa kwanza tuone roho mbaya yake ikoje.

Inategemea na degree ya roho mbaya pia.

Leta mambo tukushauri
 
huyo hawezi kuwa rafiki au unasubiri atafute njia mbadala kukuharibia na pengine kukudhuru kabisa epuka huyo na tupa kule.
 
Mtu aina iyo Anatatizo linalo itwa HASADI nakama wewe si mchamungu basi atakusumbua sana Cuz macho yake tu yanaweza kuku fanya ukaumwa au ukafa bila kuku roga. Mche mungu ama kaambali nae ndo dawa
 
Ungefunguka zaidi..as ni nani kwako..i.e mkeo, mume, ndugu, kaka..n.k
Halaf kama alivyosema Kongosho roho mbaya inapishana..
Hebu leta baadhi ya vitendo alivokufanyia ili tuone ana roho mbaya ya kiasi gani..
Ukifanya hivi ntarudi kumwaga mapwenti...
 
Last edited by a moderator:
Hlw JF
Nimuda mrefu sasa nimekuwa nikiishi na rafiki mwenye roho mbaya A.K.A
Roho ya kwanini...Kila ninapo pata mafanikio fulani yeye
hunichunia...NIFANYEJE???????????
rafiki ni mtu anayekutakia mema,huyo cjui kama bado ni rafiki
 
Na wewe inabidi uwe na roho ya kwa sababu, ili akikuletea kwanini we unaweka kwa sababu...
If u have a friend and you inspire them towards goodness the u r doing humanity a great favor which is then the true meaning of friendship. Kama kaendelea kuwa na roho mbaya kwa muda wote then na wewe unamakosa at some extent.
 
Dawa yake we fanya maendeleo makusudi hakikisha kila siku una under go +ve development rafiki kama huyo ni mzuri kwa maendeleo yako coz muda wote anakufanya uwe makini kwa kila ufanyalo ili usimpe nafasi ya kukucheka.KWA KUENDELEA KWAKO WATU WA NAMNA HII HUWA WANAUMIA SANA .
NB:USIFANYE LIGI NAE KWENYE MAMBO YA KIPUUZI,PIA JIZUIE KUKASIRIKA we mfanye kama FUTUHI WAKO.
 
Bado inamuita kuwa ni rafiki?
Yakkkkkkk kwani binadamu wameisha hadi umng'ang'anie huyo?

Mwepuke
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom