Riziki Mohammed
Senior Member
- Mar 4, 2017
- 118
- 205
Ni mtoto wa kishua, tupo nae kitaa, tofauti yetu ni kwamba yeye yupo mjengoni na mimi nipo bandani. Kila kukikucha tulikuwa tukisalimiana asubuhi mwisho wa siku nikajiongeza nikatupa ndoano ikanasa. Changamoto imeanza kuonekana baada ya kudumu kwenye penzi kwa takribani mwezi 1 imekuwa wazi kwamba siwezi kuhimili mitoko.
Mtoto anahamu ya kuzaa, sasa sina hela ya kumpeleka Lodge kila wiki kumshikisha mimba (na of course hii ndo chambo pekee ninayotegemea ya kumuweka ndani), otherwise maneno matupu naona mwisho wa siku yatanikosesha riziki.
Mara mojamoja anasimamia shoo lakini naona inamkwaza sana hasa pale ninapoonekana waziwazi kuwa sijimudu. NIFANYEJE?
[HASHTAG]#FactsOnly[/HASHTAG]