Naombeni mbinu za jinsi ya kudeal na mpenzi anayenizidi pesa

Riziki Mohammed

Senior Member
Mar 4, 2017
118
205
Ni mtoto wa kishua, tupo nae kitaa, tofauti yetu ni kwamba yeye yupo mjengoni na mimi nipo bandani. Kila kukikucha tulikuwa tukisalimiana asubuhi mwisho wa siku nikajiongeza nikatupa ndoano ikanasa. Changamoto imeanza kuonekana baada ya kudumu kwenye penzi kwa takribani mwezi 1 imekuwa wazi kwamba siwezi kuhimili mitoko.

Mtoto anahamu ya kuzaa, sasa sina hela ya kumpeleka Lodge kila wiki kumshikisha mimba (na of course hii ndo chambo pekee ninayotegemea ya kumuweka ndani), otherwise maneno matupu naona mwisho wa siku yatanikosesha riziki.

Mara mojamoja anasimamia shoo lakini naona inamkwaza sana hasa pale ninapoonekana waziwazi kuwa sijimudu. NIFANYEJE?

[HASHTAG]#FactsOnly[/HASHTAG]
 
Kikawaida sisi wanaume kwa mwanamke tunayempenda na kumwelewa saana hatumfichi maisha yetu lazima ayajue.


Nyie ni majirani atakuwa anakujua vizuri kama anakupenda na ni mwelew atakuelewa. Ila Onyesha unahangaika. Hustle kutafuta pesa na uwe unamjulisha kila hatua.
 
Uionyeshe kama unaitaka pesa yake weka misimamo yako japo huna pesa wanawake wanatekwa mioyo na wanaume jasiri wenye misimamo, ila kama ukitaka hela ya jeanz unamwambia, ya kula unamwambia, ya lodge unasubiri akuite yeye, utakuwa MWANA FA ft VANNESA
 
Kikawaida sisi wanaume kwa mwanamke tunayempenda na kumwelewa saana hatumfichi maisha yetu lazima ayajue.


Nyie ni majirani atakuwa anakujua vizuri kama anakupenda na ni mwelew atakuelewa. Ila Onyesha unahangaika. Hustle kutafuta pesa na uwe unamjulisha kila hatua.
Ni kati ya mitihani inayotusumbua wadada "kumpenda mwanaume asiye na pesa "
 
Ukiwa mkweli utakuwa mwanaume unaeweza kuimudu kuwa na familia ila ikiishi maisha ya kuigiza utakuwa unajipa mzigo ambao huwezi kuubeba hapo mwambie ukweli kuwa mi nahitaji uwe mke sasa tukisipendi sana tutashindwa kujenga misingi ya familia asipo kuelewa jua sio wako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom