Hiyo ni aina gani.Tuanze hapo labdaHabarini waheshimiwa.
Nina shida,
Naomba msaada wenu.
Nilienda kununua simu Kariakoo juzi,
Baada ya kuichaji na kuanza kuitumia, nimeona ina matatizo mawili.
La kwanza, haikai na chaji hata masaa mawili,
La pili, nikiwasha data au nikimpigia mtu kwa mazungumzo ya kianzia dakika 3 tu,
Simu inakuwa na joto kali sana.
Shida yangu ni kwamba,
Nimempigia muuzaji (alinipa namba yake),
Ananijibu kuwa simu ikishatoka nje ya duka hawarudishi hela.
Nikamwomba anibadilishie,
Anadai kuwa simu za aina hiyo zimeisha dukani kwake na hawana utaratibu wa kumpa mteja aina nyingine,
Labda nisubiri
Mpaka atakapofuata mzigo mwingine (na hasemi ni lini).
Naomba msaada wenu,
Nichukue hatua gani stahiki ili kurudishiwa hela yangu au kubadilishiwa simu ingine?
Kwa kuwa majibu ya muuzaji hayana ushirikiano,
Nilifikiria kwenda polisi ila kwa bahati mbaya risiti shemeji yenu aliifulia kwenye mfuko wa shati kwa bahati mbaya.
Naombeni ushauri na mawazo yenu wakuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini waheshimiwa.

FactHapo ulipoppteza risiti ndo na haki yako umepoteza!
maana hicho ndio kingekusaidia kupata haki yako

Huyo hakupewa risiti! Sijui shemeji kaifulia, sio kweli. Na ndio maana MUUZAJI anajiamini, kwa sababu jamaa hana ushahidi wa kununua kwake.Hapo ulipoppteza risiti ndo na haki yako umepoteza!
maana hicho ndio kingekusaidia kupata haki yako
Mkuu usimlaumu hiyo tabia ya kutotunza risiti hata mimi ninayo niliwahi kupoteza haki yangu nilijifunza kutunza risiti.Huyo hakupewa risiti! Sijui shemeji kaifulia, sio kweli. Na ndio maana MUUZAJI anajiamini, kwa sababu jamaa hana ushahidi wa kununua kwake.
Na aangalie, asije akatengeneza kesi ya kununua simu bila kudai risiti!
Mkuu,Kumbe ndio maana unajibiwa jeuri ashabaini kuwa risiti huna,risiti ni ushahidi kuthibitisha kuwa mlifanya biashara kati yenu,
NIPE ufafanuzi zaidi pale unaposema namba alikupatia na hadi leo unawasiliana wakati namba mara nyingi huandikwa katika risiti ambayo ushaipoteza
natanguliza pole
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlimani city pia wapo vizuri shida tunakimbilia virahisi kutokana na hali ya uchumi...Hivi kariakoo Kuna simu original kweli, bora posta wako vizuri.
Mkuu usimlaumu hiyo tabia ya kutotunza risiti hata mimi ninayo niliwahi kupoteza haki yangu nilijifunza kutunza risiti.
Ulipo mpigia simu kwa mara ya kwanza ulimwambi ukweli kwamba risiti umepoteza?Mkuu,
Namba niliichukua kutoka kwenye hiyo risiti ya EFD ambapo aliiandika nyuma Kwa peni, nikaisaisevu kwenye simu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap mlimani city wako vizuri pia.Mlimani city pia wapo vizuri shida tunakimbilia virahisi kutokana na hali ya uchumi...
But virahisi vina gharama zake
Sent using Jamii Forums mobile app