Naombeni mawazo yenu katika hili

Vvip

Senior Member
Apr 7, 2016
190
84
Habari za jioni ndugu zangu,mimi ni kijana wa kiume naishi arusha,naomba ufafanuzi juu ya kilimo cha matikiti maji,naomba kujua mfumo sahihi wa kilimo hichi,gharama zake,ardhi na hali ya hewa sahihi,aina ya mbegu,pamoja na soko la zao hili,kwa mwenye kufahamu naomba ushauri katika hili.
 
Mmmh pole sana, kwanza kabla ya kupost ungerudia kusoma ulichoandika. Kwa sasa mtu atakusaidiaje? "KUNA KILIMO NATAKA KUFANYA"
Maswali kwako: Je, ni kilimo gani; Je maeneo gani unafikilia; Je, kinafaida gani kulinganisha na kingine (ambacho nacho hatujui). Weka maswali yako vizuri utapata msaada wa wataalamu humu na wengine wenye uzoefu na program unayofikiria (ambayo hujaisema.
 
Daahh ki ukweli wakat naandika mtt alikuwa ananisumbua na sikupitia uzi upya baada ya kuandika sory kaka,ila naomba nirudie tu.
 
Cha Kwanza matikiti yanahitaji joto mfano Moro,Tanga,Dar na nyinginezo. Sasa hapo ulipo Kuna Hali hiyo? Ndo tujadili
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom