Fahamu kuhusu Kilimo cha Limao na Ndimu

tpmazembe

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
2,469
581
Je, maeneo gani nchi hii yanakubali zaidi hasa ndimu? Huchukua muda gani toka kupanda mapaka mavuno na garama zake ni kiasi gani kwa heka?

Karibuni wadau.
 
Please, I have one question for you before any advice. What is your motive for this project? Kaka nini kimekupelekea kuamua kulima ndimu?
 
Please, I have one question for you before any advice. What is your motive for this project? Kaka nini kimekupelekea kuamua kulima ndimu?
Ndimu nimeona ni tunda muhimu sana na linahitajika sana muda wote hasa miji ya kitalii kama arusha au zanzibar maana hata mahotel makubwa nayo huitaji ndimu kwa chakula,vinywaji vikali na juice hayo ndio baadhi ya motive zangu katika zao hilo.
 
Zanzibar ndimu zinakubali sana na ni nyingi sana na hazina bei kama huku kwetu.

Ni nyingi kiasi wameamua kufunguwa kiwanda, soma zaidi;

FREE ZANZIBAR PEOPLE FROM MKOLONI MWEUSI: KIWANDA CHA NDIMU KINATAKA KUJENGWA KTK NCHI YA ZANZIBAR
 
Ndimu nimeona ni tunda muhimu sana na linahitajika sana muda wote hasa miji ya kitalii kama arusha au zanzibar maana hata mahotel makubwa nayo huitaji ndimu kwa chakula,vinywaji vikali na juice hayo ndio baadhi ya motive zangu katika zao hilo.
Okay. Ninaona logic hapa. Umeshafanya research ya kutosha. Nafikiri maeneo ya matombo & Turian huko Morogoro ndimu zinaweza kukubari vizuri. You may visit those areas for survey.
 
Natafuta mdau wa kulima kilimo cha ndimu. nipo arusha lakini naplani kulima Babati kandokando ya mto Magara kwenye mkondo wa ziwa manyara.

Naribisha michango ya wataalam,mbegu bora na masoko na pia changmoto zake.
karibuni.
 
Habari wadau.

Naomba msaada wa kilimo cha limao, nina ekari moja nataka kulima hilo zao nahitaji kujua jinsi ya kupata mbegu au miche na kama mbolea gani inahitajika. Na pia inachukua muda gani mpaka kuanza kuvuna matunda.

Asante
 
Waone TAHA wakupe muongozo wa soko, aina inayotakiwa, masharti ya utunzaji nk
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom