mjasiria2mbo
Member
- Apr 23, 2014
- 43
- 18
Mwenzenu nimeolewa,naishi na binti wa kazi na tunapoishi ni nyumba ambayo mume wangu alianzia maisha so ni chumba na sebule tuu!
Binti huwa namlaza kwa sebule na godoro dogo tu sasa mume wangu ana kaka yake anaishi huko na ana familia cha ajabu huwa anaweza akaja hapa kwangu na hakuna cha maana anakuja kufanya sasa akija manake namlaza apo sebuleni na binti ni inabidi nimuombee kwa jirani ajibane kulala sasa mi hiki kitu kwa kweli kinanikwaza!