Elections 2010 Naombeni matokeo ya jimbo la MUHAMBWE - Kibondo

Status
Not open for further replies.

Bob_Dash

Member
Nov 1, 2010
90
13
Hivi kuna mtu yeyote aliye na data za jimbo la Muhambwe - Kibondo (Kigoma) manake CCM walimtosa mzee mwenzao Arcado Ntagazwa naye akaingia kambi ya jirani (wapinzani) CHADEMA, sasa sijui vipi huko
 
hali imemuendea vibaya. Mchuano ni kati ya ccm na nccr mageuzi. matangazo rasmi bado, bali wa nccr mageuzi anaongoza
 
Hivi kuna mtu yeyote aliye na data za jimbo la Muhambwe - Kibondo (Kigoma) manake CCM walimtosa mzee mwenzao Arcado Ntagazwa naye akaingia kambi ya jirani (wapinzani) CHADEMA, sasa sijui vipi huko

NCCR MAGEUZI,Ndg Felix Mkosamali ametangazwa na nec kuwa ndiye mshindi saa 10alfajiri
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom