Naombeni masaada kuhusu mbunge wangu Jeremia Sumari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni masaada kuhusu mbunge wangu Jeremia Sumari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by THE PRINCE, Jul 4, 2011.

 1. T

  THE PRINCE Member

  #1
  Jul 4, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Toka alipochaguliwa hajaingia bungeni kutokana na ugonjwa. sheria/katiba vinasemaje? hata kuapishwa bado
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Shida iko na waliomchagua. kama hajaenda hata kuapishwa ina maana alichaguliwa akiwa mgonjwa taaban!
  Anyway, apone haraka.
   
 3. Kitty Galore

  Kitty Galore JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  anaumwa nini muda wote huo?
   
 4. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  he is suffering from brain cancer
   
 5. k

  kamalaika Senior Member

  #5
  Jul 5, 2011
  Joined: Mar 16, 2007
  Messages: 187
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Yaani alichaguliwa akiwa mgonjwa? Duh! Tanzania yetu ndio maana hatuna maendeleo.
   
 6. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Laana ya Wameru inamtafuna huyu Mzee! Alichakachua kura za Nasar Yoshua vijiji vya Meru na kwa kushirikiana na Nec akatangazwa mshindi wakati alishakataliwa. Laana yake ni kwamba "na hata enda huko bungeni". Poor Sumari! From Deputy minister of Finance to the bed!?
   
 7. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #7
  Jul 5, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Duh! Ina maana yupo hoi bin taabani?
  Na hapa sheria inasemaje?
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Jul 5, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Sure...there should be a limit of which if an MP has not shown up at the sessions, should be regarded as NO MORE MP, AND THE SEAT DECLARED VACANT!!...mbaya zaidi Mbunge huwa hana Naibu!
   
 9. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #9
  Jul 5, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  wataalamu wa afya naomba mnifafanulie inakuaje mtu na kakayake wanaumwa same disease na inaerupt kwa mda mmoja kwa sababu kuna interval ya miezi ka 3 tangia kaka yake afariki kwa brain cancer na yeye kuanza kuumwa kuwa hoi taabani coz kuna watu washaanza kudai ni mambo ya kiswahili. je kuna ufafanuzi wa kisayansi?
  Kuhusu uchaguzi hakushinda alichakachua kura za kijana wetu Joshua Nassary ''Wao wana pesa sisi tuna Mungu''
   
 10. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #10
  Jul 5, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,063
  Likes Received: 7,280
  Trophy Points: 280
  Kwanza tunaokumbuka mambo ya Medula Oblangata, ubongo ndo unaotumika kukumbuka, kufikiri, kutoa maamuzi n.k. sasa kama ushaathiriwa hiyo itaathiri utendaji wake bungen pia.
  Pili lawama kubwa ziwaendee wananchi waliomchagua huku wakijua kua ni ugonjwa, na hii ya kukosa uwakilishi bungeni ndo adhabu yao,
  Mwisho kwa kua tuna wabunge mahiri ambao ni wanajamii wenzetu hapa Jf kama Mh. Zitto, Mtema, n.k, nawaomba watufikishie hili bungeni uchaguzi ufanyike tena.
   
 11. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #11
  Jul 5, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Mkuu hakushinda huyu Bwana walichakachua bwana mdogo Joshua (CDM) ndo alishinda.... acha laana imtafune...
   
 12. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #12
  Jul 5, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Huyu Mzee tena hata wakati wa kampeni hakuwepo, nasikia ni Mkwewe na Lowasa wameoleana watoto, Lowasa ndio alimsimamia sana, wakti huo alikuwa india kwa matibabu
   
 13. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #13
  Jul 5, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  kama bado kuapishwa mpaka leo basi anasubiri vikao vitatu vya bunge kama ameshindwa kuhudhuria, Ofisi ya Bunge itawasiliana na daktari wa mgonjwa kujua hali yake na kama ataweza kuhudhuria vikao vijavyo. baada ya kupata taarifa ya Daktari na kama itaonyesha hana uwezo wa kuendelea na Bunge basi zitapelekwa NEC na utaitishwa uchaguzi mdogo wa jimbo husika.
   
 14. Ghost

  Ghost JF-Expert Member

  #14
  Jul 5, 2011
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 429
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  TRUE THAT...... I think kuna sheria kuhusu hii, wananchi walio mchagua wanapata asara sasa kwa sababu hawana uwakilishi bungeni...
   
 15. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #15
  Jul 5, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mbona alishagonga kikombe cha babu??!
   
Loading...