Naombeni Maoni yenu Mitazamo yenu Juu ya hili Swala la Kuoa

wanawake haohao wanaolalamika wanaume wa siku hizi wana upungufu wa nguvu za kiume ndo hao hao wakimpata mwenye nguvu bado wanasema hawaridhiki mpaka uwanyonye kule..

sasa pengine hata KE nao hawajielewi wanataka nini.. wanataka mwenye nguvu au wanataka kunyonywa?

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Tunataka vyote
 
Habarini za leo j,mosi poleni na mihangaiko ya wiki nzima matumaini yangu kuwa wote mpo wazima kabisa wa buheri .

Nawakumbusha tuu ndugu zangu kuwa chanjo si salama.Twende kwenye mada yetu husika na pendwa kama ilivyotajwa hapo juu rejea kichwa cha habari
Kumekuwa na nadharia mbalimbali kuhusu swala la Kuoa kumekuwa na Mitazamo chanya kwa watu mbali mbali kuhusu kuoa miongoni mwao ni Mimi .

Ukimwambia Mtu kuwa nataka kuoa cha kwanza atakuambia .TAFUTA PESA , UNA PESA .Mimi nimekuwa nikishindwa kuelewa kila mtu ukimshirikisha swala hili ushauri ni ule ule sio kwa wakubwa wala wadogo majibu yao ni yale yale

Sasa Tutafute pesa ili tuweze kuoa sio na ukishakuwa na pesa unaweza kuoa .Ama tutàfute pesa tuweze kufanya Mambo yafuatayo sio huu ni mtazamo wangu
1 tutàfute pesa tuweze kufanya sherehe kubwaa na ya kifari
2 tutafute pesa ya kumgharamikia bibi harusi
3. Tutafute pesa tuweze kualika watu wengi

Watu wamekuwa wakiamini kuwa ukiwa na PESA ndo kila kitu kwenye ndoa jambo ambalo halina ukweli

Tupe mtazamo wako juu ya mtu akitaka kuoa

Nawakatia maandalizi ya weekend njema all of you
Babaako alikuwa tajiri alipomwooa mama yako wewe kama unakazi inayoeleweka meaning kupokea mshahara mwisho wa mwezi na umeshafanya kwa muda nakabiashara kadogo tu kaziada ili ukikwama ujue unaishije na vimishevimishe na vidili vya hapa na pale hela ni muhimu ila mpaka uwe nazo 40 -45 sasa oa usiogope maana watoto wawili ni sawa tu.
 
Ukipata anayejielewa, Ukiwa na geto na godoro mnaanza maisha. Ila usioe kilaza watoto wako wasijekuwa wa pili kutoka mwisho.
Hili swala huwa nalipa sana kipaumbele japo sijawahi kuwa na uhakika kama, mimi nina akili za kawaida(za kuweza kuwa na degree/masters,,,,,,,,,,,,,,,) nikimuoa mtu wa aina yangu tunaweza kuzaa watoto wa aina yetu??
 
Hili swala huwa nalipa sana kipaumbele japo sijawahi kuwa na uhakika kama, mimi nina akili za kawaida(za kuweza kuwa na degree/masters,,,,,,,,,,,,,,,) nikimuoa mtu wa aina yangu tunaweza kuzaa watoto wa aina yetu??

Mm siamin sana, studies nyingi hazionyeshi kwamba ukioa mtu mwenye akili kwamba na wayoto wana akili

Unakuta familia moja mmoja ana akili sana mwingine hata ya kawaida hana

Watoto ni malezi tu
 
Ukipata anayejielewa, Ukiwa na geto na godoro mnaanza maisha. Ila usioe kilaza watoto wako wasijekuwa wa pili kutoka mwisho.
mwanamke kilaza yupoje? au unamaanisha mwanamke ambae hajaenda shule ndo kilaza? mana tunaona zamani wanawake walikua hawaendi shule na hata wakienda wakimaliza la saba wanaozeshwa na mwisho wa siku ndo hao hao waliotuzalia wanasanyansi wakubwa na marais wa nchi.

nauliza tena mwanamke kilaza yupoje?
ambae hajaenda shule?
ambae hana degree?
ambae hajui kusoma na kuandika?

ni yupi?

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom