Bongemzito
Senior Member
- Nov 5, 2010
- 162
- 19
Mimi siku zote huwa najiuliza ivi wasichana ni wabahili au wanafanya makusudi,inatokea siku mnatoka out wewe(mwanamme) ndo umemwambia mtoke out sio mbaya mwanaume kulipia gharama zote..
Ikitokea yeye siku iyo ndo ameomba yeye mtoke out then mnafika labda mnaagiza misosi yaani bites mavinywaji,then inafikia wakati wakulipa wewe ndo unategemea atalipa lakini unamuona hata hatikisiki kuonesha anajiandaa kulipa hamna,mwanamme we inabidi ujipinde ulipe ivi kwa nini lakini hawa viumbe..
Sasa nauliza ukiona hivyo ndo hujue unachunwa au hulka za wanawake kwamba mwanaume ndo anapaswa kuwa responsible au ndo wanaogopa kuonekana wanawahonga wanaume..................kwa maoni yangu mimi naona cost sharing inapendeza zaidi..