Naombeni maoni yenu kuhusu hili.

Bongemzito

Senior Member
Nov 5, 2010
162
19
Mimi siku zote huwa najiuliza ivi wasichana ni wabahili au wanafanya makusudi,inatokea siku mnatoka out wewe(mwanamme) ndo umemwambia mtoke out sio mbaya mwanaume kulipia gharama zote..

Ikitokea yeye siku iyo ndo ameomba yeye mtoke out then mnafika labda mnaagiza misosi yaani bites mavinywaji,then inafikia wakati wakulipa wewe ndo unategemea atalipa lakini unamuona hata hatikisiki kuonesha anajiandaa kulipa hamna,mwanamme we inabidi ujipinde ulipe ivi kwa nini lakini hawa viumbe..

Sasa nauliza ukiona hivyo ndo hujue unachunwa au hulka za wanawake kwamba mwanaume ndo anapaswa kuwa responsible au ndo wanaogopa kuonekana wanawahonga wanaume..................kwa maoni yangu mimi naona cost sharing inapendeza zaidi..
 
siku zote mwanamke atabaki mchunaji,na mwanaume mchunwaji...:redfaces:
 
Kwa baadhi ya sisi wadada yaani ni noma kumlipia mwanaume,kama vp bora nikupe hiyo hela mapema ilimradi tu saa ya kulipia itoke kwako
 
Ah ni kwa ajili ya mfumo dume tu uliopo, ila kiukweli kila mtu inabidi achangie!. Yani sio huko tu hii habari ipo karibu kila sehemu, hata wenye watoto,labda wazazi wametengana, watoto wakikaa kwa mama, inabidi mume apeleke matunzo, tena wanaenda hata kushtaki, ila wakikaa kwa baba, mke anauchuna tu, mara nyingi hawapeleki hata senti tano!
 
Hiyo ni culture yetu. If you had not realised, that is the down side of mfumo dume. Mwanaume si ndio kichwa bwana, lipaaaaa
 
siku zote mwanamke atabaki mchunaji,na mwanaume mchunwaji...:redfaces:

Mimi natofautiana na wewe kimtazamo....ninavyofahamu mdada akikupenda haoni aibu kutoa pesa popote pale kulipia bill.
 
halafu out yenyewe wanalazimisha utasikia anabeep ukipiga anauliza upo wapi ukimwelekeza anakuja na wenzake lukuki halafu asubuhi antaka mishiko tena hawa watu vipi hawa!!
 
Tatizo ukimpenda mwanamume wa kibongo ukamnunulia hata soksi kwa upendo atasema unamuhonga. So kujihami lazima mwanamke auchune.
 
Back
Top Bottom