MpiganiaUhuru
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 777
- 911
Wanajanvi, katika hali ya kushangaza nimevinjari kwenye tovuti mbali mbali ikiwemo google kutafuta logo za vyama vya siasa vya hapa nchini na kuambulia kupata logo za CHADEMA na CCM tu. Kwa upande wa CUF nimeambulia kupata bendera yao ingawa pia siyo mbaya nikapata bendera zao zikiwa kwenye high resolution.
Ninatumaini wapo wadau wa vyama hivi hapa kwenye janvi, hivyo ninaomba kupata hizo logo/bendera za vyama vya NCCR, CUF na TLP kama ilivyotajwa hapo juu (title), nina kazi muhimu ninafanya, ahsanteni. :disapointed: