Naombeni Logo za vyama vya NCCR, CUF na TLP

MpiganiaUhuru

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
778
1,000
Wanajanvi, katika hali ya kushangaza nimevinjari kwenye tovuti mbali mbali ikiwemo google kutafuta logo za vyama vya siasa vya hapa nchini na kuambulia kupata logo za CHADEMA na CCM tu. Kwa upande wa CUF nimeambulia kupata bendera yao ingawa pia siyo mbaya nikapata bendera zao zikiwa kwenye high resolution.
Ninatumaini wapo wadau wa vyama hivi hapa kwenye janvi, hivyo ninaomba kupata hizo logo/bendera za vyama vya NCCR, CUF na TLP kama ilivyotajwa hapo juu (title), nina kazi muhimu ninafanya, ahsanteni. :disapointed:
 

Mzalendo JR

JF-Expert Member
Jun 6, 2012
1,193
1,250
For what? Nenda ofisini kwao watakupatia usije zitumia vibaya bure. Nenda wakupatie wenyewe coz utalazimika kuwaeleza nia yako......
 

Morinyo

JF-Expert Member
Aug 26, 2011
2,795
2,000
Unataka kutengeneza wanachama feki? Maana huu ndo mda wa kadi nyingi kurudishwa kwenye majukwaa. Labda tufafanulie hasa unataka kufanya nini ili tusiwa na dhana mbaya na wewe.
 

MpiganiaUhuru

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
778
1,000
Unataka kutengeneza wanachama feki? Maana huu ndo mda wa kadi nyingi kurudishwa kwenye majukwaa. Labda tufafanulie hasa unataka kufanya nini ili tusiwa na dhana mbaya na wewe.

Duh! Hivi ninyi Watanzania mmekuwaje siku hizi? Ok, ninaandaa karatasi za kupigia kura kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, zinahitaji logo za vyama husika, nipeni basi!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom