Naombeni live update za mkutano wa dr. Slaa kule home Kiombo Iramba Magharibi

MAPUMA MIYOGA

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
3,792
2,362
Wana JF,
naombeni kwa waliopo Iramba magharibi kuna mkutano wa CDM unaendelea hivi sasa. Taarifa zinasema msafara wa Dr. Slaa ndio unakaribia kuingia kiomboi.

Kama mwana-IRAMBA nimefurahi ujio wa ukombozi wa kifikra kwa watu wa hapo mitaani kwetu, taarifa zinasema vijana kwa wazee toka Kisana, kisiriri, kisimba, kinampanda, kinambeu, mampanta, misigiri, ulemo, ndago na kwingine kote unakokujua wamekubali kulipa NAULI na kwenda kusikia Ujumbe wa Dr. Slaa.

NAOMBENI LIVE UPDATES PLEASE, Maana habari kupitia simu sijaridhika sawa sawa. na pia kuna habari ya mbunge kutaka watu wasiende kwenye mkutano badala yake waangalie mpira kati ya Simba na Polisi Jamii hapo kiomboi, Kipi bora hadi sasa, mpira au katiba na CDM vinavyoenda kuzungumziwa na Dr. Slaa-I wanna know

cc M.Mtoi
T. Makene
Mwigulu Nchemba
 
Kwa huku Manyoni nimeona tu Helkopta ya M4C ikirandaranda angani na baadaye kutokomea! Sijajua wanamkutano wapi
 
goja niwapigie wadau wa huko maana kina molemo na tumaini makene wanachelewesha habari.
 
taarifa ni kuwa sasa hivi kamanda marando ndio anaunguruma na uwanja umejaa na watu wanamiminika kama kawaida.
 
Dr. Slaa haha mpya. Anachokifanya sasa hivi ni kutafuta posho ya kuendesha maisha yake tu...
 
taarifa ni kuwa sasa hivi kamanda marando ndio anaunguruma na uwanja umejaa na watu wanamiminika kama kawaida.

Kule nina watu wa kuongea nao kwa SIMU tu, ni wananchi tu ambao naona hawawezi kueleza kitaalamu yanayojiri. Natamani nipate na picha katika hili.Mkutano wa awali ilikuwa Singida.
 
taarifa ni kuwa sasa hivi kamanda marando ndio anaunguruma na uwanja umejaa na watu wanamiminika kama kawaida.

mkuu leo lazima shetani aaibike na avuke nguo mchana kweupe.naomba fanya kila uwezalo utuwekee picha.
alafu tungoje hii chemba ifumuke
 
Dr. Slaa haha mpya. Anachokifanya sasa hivi ni kutafuta posho ya kuendesha maisha yake tu...

Nimeamini dr.slaa bado ni tishio kwa magamba. Si bure mwigulu akasema ndiye adui yake number 1.Hahaha hahaha hahaha
 
Kuna jambo lolote jipya alilosema Dr. Slaa in the past two years?

Kila siku single yake ni ileile ya Richmond na EPA. Single imeshachuja kama Mwanameka!
 
Magamba yakisikia dr.slaa presha zinawapandaaa hahaha hahaha :peace: Hahaha hahaha hahaha
 
Back
Top Bottom